Mahakama Moshi yaawachia huru washtakiwa 9 na kuwatia hatiani 3 kesi ya mauaji ya NMB Mwanga
Mshtakiwa namba 3, Kalisti Joseph Kanje (aliyebeba mafaili), Mshtakiwa namba moja, Samwel Gitau Saitoti (alifunika uso) na mwenzake Mshtakiwa namba 2, Michael Kimani wakitoka nje ya mahakama kuu baada ya mahakama hiyo kuwatia hatiani kwa kosa la kuua Askari polisi katika tukio la uporaji wa benki ya NMB Mwanga.
Washtakiwa namba 4 hadi 12, wakisaidiwa kupanda kwenye gari la Polisi baada ya mahakama kuu kanda ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, kuwaachia huru jana mchana katika kesi ya mauaji...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMAHAKAMA KUU KANDA YA MOSHI YAWAACHIA HURU WASHTAKIWA 9 NA KUWATIA HATIANI 3 KATIKA KESI YA MAUAJI YA NMB MWANGA
11 years ago
Mwananchi01 Jul
HURU: Washtakiwa Kesi ya Tabata Dampo huru
10 years ago
Habarileo02 Sep
Wawili waachiwa huru kesi ya NMB
WASHITAKIWA wawili katika kesi ya mauaji na wizi wa Sh milioni 150 za benki ya NMB, wameachiwa huru na wengine 14 wamepatikana na kesi ya kujibu katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Wawili waachiwa huru kesi ya mauaji ya Ubungo
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7VwSlJttUKM/VgAnKbXXfxI/AAAAAAAH6jE/DAvc0bd89YA/s72-c/mbasha%252Bpic.jpg)
MAHAKAMA YAMWACHIA HURU EMMANUEL MBASHA KESI YA UBAKAJI
![](http://2.bp.blogspot.com/-7VwSlJttUKM/VgAnKbXXfxI/AAAAAAAH6jE/DAvc0bd89YA/s640/mbasha%252Bpic.jpg)
Kulia ni msanii wa Nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha (32) aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya ubakaji leo aliachiwa huru na Mahakama ya Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, baada ya ushahidi uliotolewa na upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha tuhuma hizo. Mbasha ambaye pia ni mume wa msanii wa nyimbo za injili nchini, Flora Mbasha, alipiga magoti na kuangua kilio nje ya mahakama baada ya kusomwa hukumu hiyo iliyomwachia huru dhidi ya tuhuma za...
11 years ago
MichuziMMOJA AACHIWA HURU KESI YA MAUAJI YA BILIONEA WA MADINI ERASTO MSUYA
OFISI ya mkurugenzi wa Mashtaka Nchini imemfutia mashtaka ya mauaji,mmoja kati ya watuhumiwa nane wa mauaji ya kukusudia dhidi ya mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite bilionea , Erasto Msuya (43).
Hati ambayo imetumika kumwachia huru Joseph Damas (Chusa) ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu wa madini hayo imetolewa na kusainiwa na mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Elieza Feleshi na kisha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuiwasilisha kwa Hakimu...
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Kesi ya mauaji Polisi Moshi ngoma nzito
UPANDE wa utetezi katika kesi ya mauaji inayowakabili raia wawili wa Kenya na Mtanzania mmoja wanaotuhumiwa kumuua askari wa Jeshi la Polisi, Ex. PC Michael Milanzi, aliyeuawa kwa kupigwa risasi...
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Mshtakiwa kesi ya mauaji aiangukia Mahakama
11 years ago
Mwananchi01 Jul
MASHAURI: Majaji wawili kusikiliza kesi 11 za mauaji Moshi