Kesi ya EPA yapigwa kalenda
KESI ya wizi wa Sh milioni 207 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) imeahirishwa kutokana na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rajab Maranda anayekabiliwa na kesi hiyo, amelazwa hospitali.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo21 Mar
Kesi ya Ponda yapigwa kalenda
KESI inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda, ambayo kwa sasa ipo kwenye hatua ya utetezi haikuendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani hapa, baada ya hakimu anayesikiliza kesi hiyo kutofika mahakamani hapo jana.
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Kesi ya Zitto yapigwa kalenda
KESI iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA) ya kupinga kujadili uanachama wake kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeahirishwa hadi Aprili mosi. Kesi hiyo iliahirishwa jana...
5 years ago
Bongo514 Feb
Kesi ya Scorpion yapigwa kalenda
Kesi ya inayomkabili Salum Njwete, maarufu ‘Scorpion’ ya unyang’anyi kwa kutumia silaha imeahirishwa hadi Mei 2 mwaka huu, kufuatia shahidi namba nane kwenye kesi hiyo kushindwa kufika mahakamani hapo.
Kesi hiyo iliahirishwa Jumanne hii na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Flora Haule, kwa kuongozwa na Wakili wa Serikali, Cheses Gavyiole, baada ya Deus Magosa (45), ambaye ni shahidi wa nane upande wa Jamhuri katika kesi hiyo ya kumjeruhi kwa kumtoboa macho Saidi Mrisho, kushindwa...
11 years ago
Mwananchi20 May
Kesi ya Pinda yapigwa kalenda
11 years ago
MichuziKESI YA MRAMBA YAPIGWA KALENDA
Mapema mwaka jana Jopo la mahakimu watatu linalosikiliza kesi hiyo, likiongozwa na Jaji John...
10 years ago
Tanzania Daima13 Sep
Kesi ya kugombea maiti yapigwa kalenda
MKE wa pili wa marehemu ,Stephen Assei (52) ,Fortunata Lyimo ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, kumpatia siku 14 kwa ajili ya kutafuta wakili atakayemsaidia katika kesi ya kugombea maiti....
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Kesi vigogo wa ardhi yapigwa kalenda
KESI ya madai ya kujimilikisha ardhi kinyume na sheria inayowakabili maofisa watatu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imeahirishwa hadi Agosti 14, mwaka huu. Jaji wa Mahakama...
10 years ago
Habarileo18 Oct
Kesi ya ubakaji ya Mbasha yapigwa kalenda
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, imeendelea kupiga kalenda kesi ya ubakaji inayomkabili mume wa mwimbaji wa muziki wa injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) hadi Novemba 14 mwaka huu kutokana na shahidi kufiwa na ndugu yake.
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Kesi ya Halima Mdee yapigwa kalenda