KESI YA MRAMBA YAPIGWA KALENDA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepiga kalenda kesi ya kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 11.7 kwa matumizi mabaya ya madaraka leo aprili 22, hadi hapo itakapotajwa tena kwa ajili ya kuangalia amri iliyotolewa Novemba 20, mwaka 2013 itakavyotekelezwa ya kutoa misamaha ya kodi, inayowakabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na wenzake ya matumizi .
Mapema mwaka jana Jopo la mahakimu watatu linalosikiliza kesi hiyo, likiongozwa na Jaji John...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLHUKUMU YA MRAMBA, MGONJA NA YONA YAPIGWA KALENDA
10 years ago
Habarileo04 Jul
Hukumu dhidi ya akina Mramba yapigwa kalenda
HUKUMU ya kesi ya kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7 inayomkabili Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na wenzake imeahirishwa kwa mara ya pili kwa sababu hakimu anaumwa.
10 years ago
Habarileo21 Mar
Kesi ya Ponda yapigwa kalenda
KESI inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda, ambayo kwa sasa ipo kwenye hatua ya utetezi haikuendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani hapa, baada ya hakimu anayesikiliza kesi hiyo kutofika mahakamani hapo jana.
11 years ago
Habarileo06 Mar
Kesi ya EPA yapigwa kalenda
KESI ya wizi wa Sh milioni 207 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) imeahirishwa kutokana na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rajab Maranda anayekabiliwa na kesi hiyo, amelazwa hospitali.
5 years ago
Bongo514 Feb
Kesi ya Scorpion yapigwa kalenda
Kesi ya inayomkabili Salum Njwete, maarufu ‘Scorpion’ ya unyang’anyi kwa kutumia silaha imeahirishwa hadi Mei 2 mwaka huu, kufuatia shahidi namba nane kwenye kesi hiyo kushindwa kufika mahakamani hapo.
Kesi hiyo iliahirishwa Jumanne hii na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Flora Haule, kwa kuongozwa na Wakili wa Serikali, Cheses Gavyiole, baada ya Deus Magosa (45), ambaye ni shahidi wa nane upande wa Jamhuri katika kesi hiyo ya kumjeruhi kwa kumtoboa macho Saidi Mrisho, kushindwa...
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Kesi ya Zitto yapigwa kalenda
KESI iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA) ya kupinga kujadili uanachama wake kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeahirishwa hadi Aprili mosi. Kesi hiyo iliahirishwa jana...
11 years ago
Mwananchi20 May
Kesi ya Pinda yapigwa kalenda
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Kesi ya Halima Mdee yapigwa kalenda
10 years ago
GPL