Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hukumu dhidi ya akina Mramba yapigwa kalenda

Waziri wa zamani wa Fedha, Basil MrambaHUKUMU ya kesi ya kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7 inayomkabili Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na wenzake imeahirishwa kwa mara ya pili kwa sababu hakimu anaumwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HUKUMU YA MRAMBA, MGONJA NA YONA YAPIGWA KALENDA

  Baadhi ya wasikilizaji wa kesi hiyo wakiwa kwenye chumba maalum kabla ya kuingia mahakamani. Ndugu wa Mgonja wakiteta jambo. Mgonja akiwafuatiwa na Mramba kwa nyuma wakitoka mahakamani muda mfupi baada ya kesi hiyo kuahirishwa.…

 

11 years ago

Michuzi

KESI YA MRAMBA YAPIGWA KALENDA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepiga kalenda kesi ya kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 11.7 kwa matumizi mabaya ya madaraka leo aprili 22, hadi hapo itakapotajwa tena kwa ajili ya kuangalia amri iliyotolewa Novemba 20, mwaka 2013 itakavyotekelezwa ya kutoa misamaha ya kodi, inayowakabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na wenzake ya matumizi . 
 Mapema mwaka jana Jopo la mahakimu watatu linalosikiliza kesi hiyo, likiongozwa na Jaji John...

 

9 years ago

Habarileo

Hukumu ya Shehe Ponda yapigwa kalenda tena

HUKUMU ya kesi inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shekhe Ponda Issa Ponda, imeshindwa kutolewa jana kutokana na Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Mary Moyo kuwa mkoani Dodoma kwa shughuli za kikazi.

 

11 years ago

Michuzi

kesi ya kikatiba dhidi ya Waziri Mkuu yapigwa kalenda

Na Miriam Mosses  MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imepiga kalenda kutoa uamuzi wa kesi ya kikatiba dhidi ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda hadi Mei 19 mwaka huu, itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na upande wa Jamhuri.   Uamuzi huo ulipangwa kutolewa jana lakini iliahirishwa mbele ya Msajiri Benedicto Mwingwa baada ya jopo linalosikiliza kesi hiyo kuwa bado halijamaliza kuandika uamuzi huo.   Kesi hiyo inasikilizwa na jopo la majaji waatu likiongozwa na...

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya akina Mramba Septemba 9

KESI ya matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7 inayomkabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na wenzake, inatarajia kuendelea kusikilizwa Septemba 9 hadi 12 mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya akina Mramba kuendelea leo

KESI ya matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7 inayomkabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na wenzake, itaendelea kusikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

5 years ago

Bongo5

Kesi ya Scorpion yapigwa kalenda

Kesi ya inayomkabili Salum Njwete, maarufu ‘Scorpion’ ya unyang’anyi kwa kutumia silaha imeahirishwa hadi Mei 2 mwaka huu, kufuatia shahidi namba nane kwenye kesi hiyo kushindwa kufika mahakamani hapo.

Kesi hiyo iliahirishwa Jumanne hii na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Flora Haule, kwa kuongozwa na Wakili wa Serikali, Cheses Gavyiole, baada ya Deus Magosa (45), ambaye ni shahidi wa nane upande wa Jamhuri katika kesi hiyo ya kumjeruhi kwa kumtoboa macho Saidi Mrisho, kushindwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya Zitto yapigwa kalenda

KESI iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA) ya kupinga kujadili uanachama wake kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeahirishwa hadi Aprili mosi. Kesi hiyo iliahirishwa jana...

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi ya Pinda yapigwa kalenda

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana ilishindwa kutoa uamuzi wa pingamizi la Jamhuri katika kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa mara ya pili mfululizo na sasa imepanga kuutoa Juni 6, mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani