Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi ya akina Mramba kuendelea leo

KESI ya matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7 inayomkabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na wenzake, itaendelea kusikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kesi ya Yona, Mramba, Mgonja kuendelea leo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo itaendelea kusikiliza kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara inayomkabili Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani Nishati na Madini, Daniel Yona

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya akina Mramba Septemba 9

KESI ya matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7 inayomkabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na wenzake, inatarajia kuendelea kusikilizwa Septemba 9 hadi 12 mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Hukumu dhidi ya akina Mramba yapigwa kalenda

Waziri wa zamani wa Fedha, Basil MrambaHUKUMU ya kesi ya kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7 inayomkabili Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na wenzake imeahirishwa kwa mara ya pili kwa sababu hakimu anaumwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi ya Ekelege kuendelea leo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeiahirisha kesi Mkurugenzi   Mkuu wa zamani wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelege hadi leo.

 

9 years ago

Habarileo

Jaji ashangaa akina Mramba kupewa adhabu ndogo

JAJI Projest Rugazia wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ameelezea kushangazwa na sheria za Tanzania, kwa kutoa adhabu ndogo kwa mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona, ikilinganishwa na kiasi cha fedha walichosababisha hasara.

 

10 years ago

Mwananchi

Kina Mramba kuendelea kujitetea

Kesi ya kuisababishia Serikali hasara ya Sh 11.7 bilioni inayomkabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na wenzake itaendelea kusikilizwa mfululizo kwa upande wa utetezi Novemba 24 mpaka 28, mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

KESI YA MRAMBA YAPIGWA KALENDA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepiga kalenda kesi ya kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 11.7 kwa matumizi mabaya ya madaraka leo aprili 22, hadi hapo itakapotajwa tena kwa ajili ya kuangalia amri iliyotolewa Novemba 20, mwaka 2013 itakavyotekelezwa ya kutoa misamaha ya kodi, inayowakabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na wenzake ya matumizi . 
 Mapema mwaka jana Jopo la mahakimu watatu linalosikiliza kesi hiyo, likiongozwa na Jaji John...

 

11 years ago

Habarileo

Ushahidi kesi ya Mramba wafutwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imefuta ushahidi wa aliyekuwa Kamishna wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Felesian Msigala, uliokuwa umetolewa mahakamani hapo kwa ajili ya kumtetea aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba.

 

11 years ago

Habarileo

Hakimu achoshwa na Jamhuri kesi ya akina Mattaka

HAKIMU Mkazi Augustina Mmbando amesema upande wa Jamhuri unamkwaza kwa kitendo cha kuchelewesha kesi ya kulisababishia Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) hasara ya Dola 143,442.75 za Marekani, inayomkabili Mkurugenzi mstaafu wa kampuni hiyo David Mattaka na wenzake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani