Hakimu achoshwa na Jamhuri kesi ya akina Mattaka
HAKIMU Mkazi Augustina Mmbando amesema upande wa Jamhuri unamkwaza kwa kitendo cha kuchelewesha kesi ya kulisababishia Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) hasara ya Dola 143,442.75 za Marekani, inayomkabili Mkurugenzi mstaafu wa kampuni hiyo David Mattaka na wenzake.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Apr
Hakimu kesi ya mauaji ya Dk. Mvungi ajitoa
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Waliarwande Lema, amejitoa kusikiliza kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi, inayowakabili washtakiwa 11.
Tukio hilo lilitokea juzi, baada ya washtakiwa hao 11 kumuomba Hakimu Lema ajitoe kuisikiliza kesi yao ili iweze kupangwa kwa hakimu mwingine ambaye wao wanaona atawatendea haki.
Kutokana na ombi hilo, Hakimu Lema alijitoa na kuiahirisha kesi hiyo...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Hakimu ajitoa kesi ya jumuiya ya Uamsho
11 years ago
Habarileo21 Oct
Shahidi kesi ya rushwa ya Hakimu afariki dunia
UPANDE wa mashitaka kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), wameithibitishia Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwamba aliyetakiwa kuwa shahidi wa pili katika kesi ya rushwa ya Sh 50,000 inayomkabili Hakimu Grace Kivegele na Karani wake, Rose Kuhima wa Mahakama ya Mwanzo Buruguri, amefariki dunia.
10 years ago
Vijimambo31 Dec
Hakimu ajitoa kesi ya kina Sheikh Farid,

Hakimu Mkazi wa Mahakama Kisutu jijini Dar es Salaam, Hellen Riwa, amejitoa kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (Jumiki) visiwani Zanzibar, Sheikh Farid Ahmed na wenzake 21.
Hakimu Riwa amechukua hatua hiyo wakati upande wa washtakiwa ukiitaka mahakama imbadilishe kwa kutokuwa na imani naye.
Oktoba 1, mwaka huu, Hakimu Riwa alitoa...
10 years ago
Mwananchi28 May
Kesi za madai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
10 years ago
Habarileo31 Dec
Hakimu ajitoa kesi ya ugaidi ya Shehe Farid
HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Hellen Riwa amejitoa kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake.
11 years ago
Habarileo18 Jul
Kesi ya akina Mramba Septemba 9
KESI ya matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7 inayomkabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na wenzake, inatarajia kuendelea kusikilizwa Septemba 9 hadi 12 mwaka huu.
11 years ago
Habarileo23 Apr
Kesi ya akina Mramba kuendelea leo
KESI ya matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7 inayomkabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na wenzake, itaendelea kusikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
5 years ago
Michuzi
UDHURU WA HAKIMU ANAYESIKILIZA KESI YA UHUJUMU UCHUMI INAYOMKABILI MWANDISHI ERICK KABENDERA WAKWAMISHA MAJADILIANO MAHAKAMANI
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Februari 17 mwaka 2020 imeshindwa kuendelea na makubaliano katika kesi a Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwandishi wa Habari Erick Kabendera kwa sababu Hakimu anayesikiliza kesi hiyo amepata udhuru.
Kwa mujibu wa ratiba ya kesi hiyo leo ilitegemewa kuwa ni hatma ya mwisho ya Kabendera kusota rumande tangu alipopandishwa kizimbani Agosti 5,mwaka 2019 baada ya kuingia makubaliano na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini...