Hakimu ajitoa kesi ya jumuiya ya Uamsho
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Hellen Liwa amejitoa kusikiliza kesi ya ugaidi inayowakabili viongozi 23 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Apr
Hakimu kesi ya mauaji ya Dk. Mvungi ajitoa
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Waliarwande Lema, amejitoa kusikiliza kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi, inayowakabili washtakiwa 11.
Tukio hilo lilitokea juzi, baada ya washtakiwa hao 11 kumuomba Hakimu Lema ajitoe kuisikiliza kesi yao ili iweze kupangwa kwa hakimu mwingine ambaye wao wanaona atawatendea haki.
Kutokana na ombi hilo, Hakimu Lema alijitoa na kuiahirisha kesi hiyo...
10 years ago
Vijimambo31 Dec
Hakimu ajitoa kesi ya kina Sheikh Farid,
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Farid-31Dec2014.jpg)
Hakimu Mkazi wa Mahakama Kisutu jijini Dar es Salaam, Hellen Riwa, amejitoa kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (Jumiki) visiwani Zanzibar, Sheikh Farid Ahmed na wenzake 21.
Hakimu Riwa amechukua hatua hiyo wakati upande wa washtakiwa ukiitaka mahakama imbadilishe kwa kutokuwa na imani naye.
Oktoba 1, mwaka huu, Hakimu Riwa alitoa...
10 years ago
Habarileo31 Dec
Hakimu ajitoa kesi ya ugaidi ya Shehe Farid
HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Hellen Riwa amejitoa kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JH0C62scBfBU8xpLL0tH-*2-mCjU2ZK7smz1xFrhv4*2PwQ8vLdfUCn5pDWw3Hture9dOqiQV3uwCtDBAhgpfxKlFybSNqOV/MO.jpg)
MO FARAH AJITOA MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA
11 years ago
Habarileo20 Feb
Jaji ajitoa kesi ya mfanyabiashara
JAJI Bethuel Mmila amejitoa katika jopo la majaji watano, wanaosikiliza rufaa ya mfanyabiashara Kibute Otienyeri, anayepinga adhabu ya kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kunajisi.
10 years ago
Habarileo20 Mar
Upelelezi wa kesi ya Uamsho bado
KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) Shekhe Farid Hadi Ahmed (45) na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi bado wanasota rumande kwa kwa kuwa upelelezi wa kesi bado haujakamilika.
11 years ago
Habarileo07 Aug
Kiongozi wa Uamsho aunganishwa kesi ugaidi
KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho Zanzibar, Shekhe Farid Hadi Ahmed (45) ameunganishwa na washitakiwa 19 wa kesi ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Kiongozi wa Uamsho kortini kesi ya ugaidi
10 years ago
Mwananchi19 Jun
Waandishi wazuiwa kuripoti kesi ya Uamsho