Jaji ajitoa kesi ya mfanyabiashara
JAJI Bethuel Mmila amejitoa katika jopo la majaji watano, wanaosikiliza rufaa ya mfanyabiashara Kibute Otienyeri, anayepinga adhabu ya kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kunajisi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo16 Jul
Jaji Kaduri ajitoa kesi ya mauaji ya Profesa Jwani Mwaikusa
JAJI Lawrence Kaduri wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, amejitoa kusikiliza kesi ya mauaji ya watu watatu akiwemo aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kitivo cha Sheria, Profesa Jwani Mwaikusa.
11 years ago
Mwananchi30 Jun
SHERIA: Jaji ajitoa rufani ya Ponda
11 years ago
Dewji Blog30 Jun
Jaji ajitoa kusikiliza rufaa ya Ponda
Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu , Sheikh Ponda Issa Ponda.
Na Mwandishi wetu.
Jaji wa Mahakama ya kuu kanda ya Dar es Salaam Shabani Lila aliyekuwa amepangwa kusikiliza rufaa ya Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu , Sheikh Ponda Issa Ponda, amejitoa kusikiliza rufaa hiyo kwa maelezo Kuwa dhamira yake inamfanya ajione hawezi kusikiliza rufaa hiyo.
Jaji Lila alitoa uamuzi huo mwishoni mwa wiki ambapo alisema dhamira yake haimtumi kusikiliza rufaa hiyo namba 89/2013...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Hakimu ajitoa kesi ya jumuiya ya Uamsho
10 years ago
Mtanzania04 Apr
Hakimu kesi ya mauaji ya Dk. Mvungi ajitoa
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Waliarwande Lema, amejitoa kusikiliza kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi, inayowakabili washtakiwa 11.
Tukio hilo lilitokea juzi, baada ya washtakiwa hao 11 kumuomba Hakimu Lema ajitoe kuisikiliza kesi yao ili iweze kupangwa kwa hakimu mwingine ambaye wao wanaona atawatendea haki.
Kutokana na ombi hilo, Hakimu Lema alijitoa na kuiahirisha kesi hiyo...
10 years ago
Vijimambo31 Dec
Hakimu ajitoa kesi ya kina Sheikh Farid,
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Farid-31Dec2014.jpg)
Hakimu Mkazi wa Mahakama Kisutu jijini Dar es Salaam, Hellen Riwa, amejitoa kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (Jumiki) visiwani Zanzibar, Sheikh Farid Ahmed na wenzake 21.
Hakimu Riwa amechukua hatua hiyo wakati upande wa washtakiwa ukiitaka mahakama imbadilishe kwa kutokuwa na imani naye.
Oktoba 1, mwaka huu, Hakimu Riwa alitoa...
10 years ago
Habarileo31 Dec
Hakimu ajitoa kesi ya ugaidi ya Shehe Farid
HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Hellen Riwa amejitoa kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-I6ZObg_5YAw/XrqTXob9r9I/AAAAAAALp7Y/hfcfVEY5WIocLGZab-3n8bPe-rtQH_F8QCLcBGAsYHQ/s72-c/fd967115-ecc6-41a7-90ea-6bb56b6dbd9d.jpg)
MFANYABIASHARA AFIKISHWA KORTINI AKIKABILIWA NA KESI YA UHUJUMU UCHUMI
![](https://1.bp.blogspot.com/-I6ZObg_5YAw/XrqTXob9r9I/AAAAAAALp7Y/hfcfVEY5WIocLGZab-3n8bPe-rtQH_F8QCLcBGAsYHQ/s400/fd967115-ecc6-41a7-90ea-6bb56b6dbd9d.jpg)
Na Karama Kenyunko, Michuzi TV
MFANYABIASHARA, Edgael Lema (43) mkazi wa Goba jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka nane likiwemo la kukutwa na magogo yenye thamani ya zaidi ya Sh. Milioni 383.
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Vicky Mwaikambo na Wakili wa Serikali Mwamdamizi Maternus Marandu imedai mshtakiwa anakabiliwa na mashtaka ya kuongoza genge la uhalifu,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-rH6-6T41qQY/XvDkQO2O_-I/AAAAAAALu_o/FOPhfwu8INM04xP4hx5A-HhvaET-FeP0gCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-22%2Bat%2B5.02.19%2BPM%2B%25281%2529.jpeg)
MFANYABIASHARA KIBAHA PWANI AFIKISHWA KORTINI AKIKABILIWA NA KESI YA UHUJUMU UCHUMI
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo na wakili wa serikali Easter Martin mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Rashid Chaungu imedai kuwa, kati ya Aprili Mosi na 20, mwaka huu ndani ya jiji la Dar es Salaam, Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro na...