Jaji ajitoa kusikiliza rufaa ya Ponda
Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu , Sheikh Ponda Issa Ponda.
Na Mwandishi wetu.
Jaji wa Mahakama ya kuu kanda ya Dar es Salaam Shabani Lila aliyekuwa amepangwa kusikiliza rufaa ya Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu , Sheikh Ponda Issa Ponda, amejitoa kusikiliza rufaa hiyo kwa maelezo Kuwa dhamira yake inamfanya ajione hawezi kusikiliza rufaa hiyo.
Jaji Lila alitoa uamuzi huo mwishoni mwa wiki ambapo alisema dhamira yake haimtumi kusikiliza rufaa hiyo namba 89/2013...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Jun
SHERIA: Jaji ajitoa rufani ya Ponda
11 years ago
Habarileo20 Feb
Jaji ajitoa kesi ya mfanyabiashara
JAJI Bethuel Mmila amejitoa katika jopo la majaji watano, wanaosikiliza rufaa ya mfanyabiashara Kibute Otienyeri, anayepinga adhabu ya kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kunajisi.
10 years ago
VijimamboSHEIKH PONDA ASHINDA RUFAA YAKE
10 years ago
Mtanzania03 Mar
Jaji Msengi Kusikiliza kesi ya Wakili Mwale
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
KESI ya utakatishaji fedha haramu inayomkabili wakili maarufu jijini Arusha, Medium Mwale na wenzake watatu, imeanza kusikilizwa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha mbele ya Jaji Fatuma Masengi.
Kesi hiyo ilianza kusikilizwa mwishoni mwa wiki baada ya Jamhuri kwa kuongozwa na Wakili wa Serikali Mkuu, Oswald Tibabyekomya, kuwasomea washtakiwa maelezo ya awali ya mashtaka 42 yanayowakabili.
Tibabyekomya alidai washtakiwa wote walikubali majina yao kuwa Median Mwale, Don...
11 years ago
Habarileo16 Jul
Jaji Kaduri ajitoa kesi ya mauaji ya Profesa Jwani Mwaikusa
JAJI Lawrence Kaduri wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, amejitoa kusikiliza kesi ya mauaji ya watu watatu akiwemo aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kitivo cha Sheria, Profesa Jwani Mwaikusa.
10 years ago
GPLRUFAA YA PONDA YATUPILIWA MBALI, KESI YAKE YAAHIRISHWA
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: SHEIKH PONDA ASHINDA RUFAA YAKE
11 years ago
Mwananchi26 Jun
‘Kila jaji anapaswa kusikiliza mashauri 220 kwa mwezi’
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-k8d0cBTSNs4/Xrv8u0YZNrI/AAAAAAALqF8/G7T6TcRSjFUWvZUe11VXgYjJGtqXH18sACLcBGAsYHQ/s72-c/JAJI.png)
JAJI MKUU- AWATAKA MAHAKIMU KUWA TAYARI KUSIKILIZA MASHAURI YA ARDHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-k8d0cBTSNs4/Xrv8u0YZNrI/AAAAAAALqF8/G7T6TcRSjFUWvZUe11VXgYjJGtqXH18sACLcBGAsYHQ/s400/JAJI.png)
Akizungumza leo mara baada ya kumuapisha Hakimu Mkazi, Mhe. Olivia Towilo ofisini kwake, iliyopo Mahakama ya Rufani Tanzania, Jijini Dar es Salaam. Jaji Mkuu alisema Mahakama imekuwa ikifanya...