Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RUFAA YA PONDA YATUPILIWA MBALI, KESI YAKE YAAHIRISHWA

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo imetupilia mbali rufaa ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda iliyopelekwa na wakili wake Juma Nassoro ya kupinga hatia ya adhabu aliyohukumiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akidai kuwa hapakuwa na ushahidi wa kutosha wa kumtia hatiani kwa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili. Kesi nyingine inayomkabili kiongozi huyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SHEIKH PONDA APANDISHWA KIZIMBANI TENA, KESI YAKE YAAHIRISHWA

Sheikh Ponda Issa Ponda akitolewa mahakamani kuelekea kwenye gari. Wafuasi wa Sheikh Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar kufuatilia kesi ya kiongozi wao.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Rufaa ya Mourinho yatupiliwa mbali

Shirikisho la soka la uingereza limeitupilia mbali rufaa ya Mourinho aliyoikata kupinga kufungiwa kuingia uwanjani kesho na kulipa faini ya pauni milioni hamsini.

 

10 years ago

GPL

RUFAA YA OSCAR PISTORIUS YATUPILIWA MBALI

Mwanariadha Oscar Pistorius. JAJI Thokozile Masipa ametupilia mbali rufaa ya mwanariadha anayehudumia kifungo cha miaka mitano jela kwa kumuua mpenzi wake, Oscar Pistorius huko Afrika Kusini. Oscar Pistorius akiwa na Reeva Steenkamp. Rufaa hiyo iliwasilishwa na makili wa mwanariadha huyo ambaye ni mlemavu wa miguu.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Kesi ya Julius Malema yatupiliwa mbali

Mahakama ya Afrika Kusini imetupilia mbali kesi ya mashtaka ya udanganyifu na ufisadi dhidi ya kiongozi wa upinzani Julius Malema.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kesi dhidi ya Mubarak yatupiliwa mbali

Mahakama moja nchini Misri imetupilia mbali kesi dhidi ya aliyekuwa rais wa taifa hilo Hosni Mubarak

 

10 years ago

GPL

KESI YA KENYATTA ICC YATUPILIWA MBALI

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya. MAHAKAMA ya Kimataifa ya ICC imetupilia mbali kesi ya jinai inayomkabili Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta baada ya kushindwa kumtia hatiani. Rais Kenyatta alikuwa anatuhumiwa kwa makosa ya jinai kufuatia machafuko ya baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 - 2008, madai ambayo…

 

10 years ago

GPL

KESI YA PONDA YAAHIRISHWA MPAKA SEPTEMBA 22

Shehe Ponda akiwasalimu waumini ndani ya mahakama. …Akiwa  na askari magereza.…

 

10 years ago

GPL

KESI YA JINAI YA SHEIKH PONDA YAAHIRISHWA

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda akiwa mahakamani. (Picha na Maktaba).
Na Haruni Sanchawa Kesi ya jinai inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro imeahirishwa leo kwenye Mahakama Kuu Dar es Salaam hadi Septemba 22, mwaka huu. Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, Ponda anakabiliwa na mashtaka ya uchochezi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kesi rufaa ya talaka dhidi ya Mtembei yaahirishwa

wooden gavel and books on wooden table,on brown background

Na Mwandishi wetu

KESI ya rufaa ya madai ya talaka dhidi ya mfanyabiashara na Mkurugenzi wa shule ya  sekondari ya St Mathew, Thadei Mtembei imeahirishwa baada ya wakili wa Mtembei, Mussa Kyoboya kudai mrufaniwa yuko India kwa matibabu.

Kesi hiyo inasikilizwa na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Tarimo.

Katika kesi hiyo, mpeleka rufaa, Magreth Mwangu  anawakilishwa na wakili Chacha Mrungu. Kesi hiyo ilikuja mahakamani juzi ambapo mrufaniwa alitakiwa kupeleka majibu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani