KESI YA JINAI YA SHEIKH PONDA YAAHIRISHWA
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda akiwa mahakamani. (Picha na Maktaba). Na Haruni Sanchawa Kesi ya jinai inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro imeahirishwa leo kwenye Mahakama Kuu Dar es Salaam hadi Septemba 22, mwaka huu. Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, Ponda anakabiliwa na mashtaka ya uchochezi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSHEIKH PONDA APANDISHWA KIZIMBANI TENA, KESI YAKE YAAHIRISHWA
10 years ago
GPLKESI YA PONDA YAAHIRISHWA MPAKA SEPTEMBA 22
10 years ago
GPLRUFAA YA PONDA YATUPILIWA MBALI, KESI YAKE YAAHIRISHWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/17StHKe5zK42oUteHb0J2R0jMgCzYQxosZIalUNhCGgmR8SeA6S9K8WScbFyg2gE2D3Cr6qfdpr9q34iSgQk2wBRM5MVePE*/BREAKINGNEWS.gif)
SHEIKH PONDA ASHINDA KESI
11 years ago
Habarileo01 May
Kesi ya Sheikh Ponda yakwama tena
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro kwa mara nyingine jana, imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Taasisi na Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa, kutokana na jadala la kesi hiyo, ambalo liko Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kutorejeshwa mahakamani hapo.
10 years ago
GPL28 Nov
SHEIKH PONDA ASHINDA KESI YA MADAI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iiq-5qTP3-m7kBNEfrEGpj2u4LwWzWgsNm28LWn*PShIUbb3-JuYnilpPkRDLqTFKzHeLuLBQbK-VLaWKZ3CBC-5mVUzsyuw/ponda.jpg)
KESI YA SHEIKH PONDA MORO YAPIGWA TENA KALENDA
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Mawakili kesi ya Sheikh Ponda wavutana kuhusu sheria ya ushahidi
10 years ago
GPLWAFUASI WA SHEIKH PONDA WASWALI BARABARANI WAKATI KESI IKIENDELEA MKOANI MORO