KESI YA SHEIKH PONDA MORO YAPIGWA TENA KALENDA
![](http://api.ning.com:80/files/Iiq-5qTP3-m7kBNEfrEGpj2u4LwWzWgsNm28LWn*PShIUbb3-JuYnilpPkRDLqTFKzHeLuLBQbK-VLaWKZ3CBC-5mVUzsyuw/ponda.jpg)
KWA mara nyingine tena, kesi inayomkabili kiongozi wa Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda leo imeendelea kupigwa kalenda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Morogoro. Mbali na kundi la wafuasi wa Sheikh Ponda kutoka mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro waliojazana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Morogoro leo asubuhi kusikiliza kesi ya uchochezi inayomkabili kiongozi wao huyo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/4uLsgpBK3A*9LOHs6d1d9*4J7Z2uFcRxBI74-ReGhcn-sq7azHWn8s-GdsEK-EZZyisx5NhtvtVHoyftEgvNsOPINuk-BGgd/SHEIKHPONDANAWENZAKEMAHAKAMANI7.jpg?width=650)
10 years ago
Habarileo21 Mar
Kesi ya Ponda yapigwa kalenda
KESI inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda, ambayo kwa sasa ipo kwenye hatua ya utetezi haikuendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani hapa, baada ya hakimu anayesikiliza kesi hiyo kutofika mahakamani hapo jana.
9 years ago
Habarileo19 Nov
Hukumu ya Shehe Ponda yapigwa kalenda tena
HUKUMU ya kesi inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shekhe Ponda Issa Ponda, imeshindwa kutolewa jana kutokana na Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Mary Moyo kuwa mkoani Dodoma kwa shughuli za kikazi.
11 years ago
Habarileo01 May
Kesi ya Sheikh Ponda yakwama tena
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro kwa mara nyingine jana, imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Taasisi na Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa, kutokana na jadala la kesi hiyo, ambalo liko Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kutorejeshwa mahakamani hapo.
10 years ago
GPLWAFUASI WA SHEIKH PONDA WASWALI BARABARANI WAKATI KESI IKIENDELEA MKOANI MORO
11 years ago
GPLSHEIKH PONDA APANDISHWA KIZIMBANI TENA, KESI YAKE YAAHIRISHWA
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Kesi ya Zitto yapigwa kalenda
KESI iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA) ya kupinga kujadili uanachama wake kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeahirishwa hadi Aprili mosi. Kesi hiyo iliahirishwa jana...
11 years ago
Habarileo06 Mar
Kesi ya EPA yapigwa kalenda
KESI ya wizi wa Sh milioni 207 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) imeahirishwa kutokana na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rajab Maranda anayekabiliwa na kesi hiyo, amelazwa hospitali.
11 years ago
Mwananchi20 May
Kesi ya Pinda yapigwa kalenda