Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEIKH PONDA ASHINDA RUFAA YAKE

  Wafuasi wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo huku wakipaza sauti baada Sheikh Ponda kushindarufaa ya kupinga hukumu ilitolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kuvamia na kujimilikisha kwa nguvu kiwanja cha Markaz Chang’ombe jijini Dar es Salaam. Hukumu hiyo ilitolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi Victoria Nongwa, Mei 9, 2013. (Picha na Francis Dande)  Wafuasi wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: SHEIKH PONDA ASHINDA RUFAA YAKE

  Wafuasi wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo huku wakipaza sauti baada Sheikh Ponda kushinda rufaa ya kupinga hukumu ilitolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kuvamia na kujimilikisha kwa nguvu kiwanja cha Markaz Chang’ombe jijini Dar es Salaam. Hukumu hiyo ilitolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi Victoria Nongwa, Mei 9, 2013. (Picha na Francis Dande).
Katibu wa...

 

10 years ago

GPL

SHEIKH PONDA ASHINDA KESI

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda ameshinda kesi ya jinai ya kuingilia eneo la ardhi ya Agritanza Ltd, japo amerudishwa Segerea kwa kuwa bado ana kesi nyingine inayomkabili. Hukumu ya kesi hiyo imetolewa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam chini ya Jaji Augustine Shangwa huku Sheikh Ponda akitetewa na Wakili wake Juma Nassoro. Sheikh Ponda bado anakabiliwa na kesi ya uchochezi ya mkoani...

 

10 years ago

GPL

SHEIKH PONDA ASHINDA KESI YA MADAI

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam Novemba 27, 2014  imemuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda baada ya kuona hana hatia dhidi ya kesi ya madai ya Ardhi ya Agrekanza inayomilikiwa na Afidhi Self  iliyokuwa inamkabili.

 

11 years ago

Mwananchi

Sheikh Ponda ‘alia’ na pingamizi dhidi yake

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itupilie mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na isikilize maombi yake ya mapitio ili haki itendeke.

 

10 years ago

GPL

RUFAA YA PONDA YATUPILIWA MBALI, KESI YAKE YAAHIRISHWA

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo imetupilia mbali rufaa ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda iliyopelekwa na wakili wake Juma Nassoro ya kupinga hatia ya adhabu aliyohukumiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akidai kuwa hapakuwa na ushahidi wa kutosha wa kumtia hatiani kwa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili. Kesi nyingine inayomkabili kiongozi huyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

 

11 years ago

GPL

SHEIKH PONDA APANDISHWA KIZIMBANI TENA, KESI YAKE YAAHIRISHWA

Sheikh Ponda Issa Ponda akitolewa mahakamani kuelekea kwenye gari. Wafuasi wa Sheikh Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar kufuatilia kesi ya kiongozi wao.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maskini Sheikh Ponda

JITIHADA za Sheikh Ponda Issa Ponda, kutaka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ifanyie marejeo uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro Oktoba mosi mwaka jana, zimegonga mwamba...

 

11 years ago

Mwananchi

Sheikh Ponda kusota rumande

Kesi inayomkabili kiongozi wa Taasisi ya Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda imeendelea kupigwa kalenda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Morogoro.

 

10 years ago

Mwananchi

Hukumu ya Sheikh Ponda Novemba 27

>Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,  jana iliahirisha kutoa hukumu ya rufaa iliyofunguliwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda hadi Novemba 27.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani