Sheikh Ponda ‘alia’ na pingamizi dhidi yake
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itupilie mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na isikilize maombi yake ya mapitio ili haki itendeke.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboSHEIKH PONDA ASHINDA RUFAA YAKE
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: SHEIKH PONDA ASHINDA RUFAA YAKE
11 years ago
GPLSHEIKH PONDA APANDISHWA KIZIMBANI TENA, KESI YAKE YAAHIRISHWA
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Maskini Sheikh Ponda
JITIHADA za Sheikh Ponda Issa Ponda, kutaka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ifanyie marejeo uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro Oktoba mosi mwaka jana, zimegonga mwamba...
10 years ago
Mtanzania02 Sep
Sheikh Ponda aiangukia mahakama
![Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Ponda-Issa-Ponda.jpg)
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameiangukia Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kwa kuiomba itumie busara kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili mkoani Morogoro.
Maombi hayo yaliyokwama mara kadhaa kutokana na sababu za kisheria, yaliwasilishwa jana kupitia wakili wake, Juma Nassoro, wakati rufaa yake ya kupinga hukumu ya Mahakama ya Hakimu...
9 years ago
Mtanzania01 Dec
Sheikh Ponda: Nitaendelea kupambana
Na Ramadhan Libenanga, Morogoro
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameachiwa huru baada ya kukaa mahabusu kwa kipindi cha zaidi ya miaka miwili.
Hata hivyo baada ya kuachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro, Sheikh Ponda amesema licha ya kuachiwa ataendelea kupambana kupigania haki za Waislamu nchini.
Katika mazungumzo yake, Sheikh Ponda alisema amesikitishwa na kitendo cha Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), kuchelewesha haki yake...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/17StHKe5zK42oUteHb0J2R0jMgCzYQxosZIalUNhCGgmR8SeA6S9K8WScbFyg2gE2D3Cr6qfdpr9q34iSgQk2wBRM5MVePE*/BREAKINGNEWS.gif)
SHEIKH PONDA ASHINDA KESI
10 years ago
Mwananchi04 Nov
Ombi la Sheikh Ponda ‘latupwa’
11 years ago
Mwananchi01 May
Sheikh Ponda kusota rumande