Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waandishi wazuiwa kuripoti kesi ya Uamsho

Dar es Salaam. Waandishi wa habari jana walizuiwa kuripoti kesi ya ugaidi inayowakabili viongozi 23 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waandishi wazuiwa kesi ya IPTL

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.KATIKA hali ya kushangaza, Mahakama Kuu, Kitengo cha Biashara imewazuia waandishi wa habari kuingia mahakamani kusikiliza maombi ya kampuni ya Pan Africa Power Solutions (PAP) na Kampuni ya Independent Power Tanzania (IPTL) kwa Bodi ya Rufaa ya Kodi nchini, kutaka Kamishna Mkuu wa TRA akamatwe na kupelekwa gerezani.

 

11 years ago

Mwananchi

Waandishi wa habari wazuiwa

Bunge Maalumu la Katiba limepitisha kanuni ya kuwazuia waandishi wa habari kuingia katika vikao vya kamati za chombo hicho, hatua ambayo inaelezwa ni kinyume na Katiba inayotoa uhuru wa wananchi kupata habari.

 

10 years ago

Dewji Blog

JET yahamasisha waandishi kuripoti habari za mazingira

DSC00873

 

Katibu mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Mazingira Tanzania (JET) John Chikomo, akitoa taarifa yake ya utendaji pamoja na fedha mbele ya mkutano mkuu wa mwaka 2013 wa chama hicho. Mkutano huo uliohudhuriwa na wananchama wengi, ulifanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Lion iliyopo Sinza jijini Dar-es-salaam.Wa pili kushoto (waliokaa) ni mwenyekiti wa JET, Johnson Mbwambo na anayefuata ni katibu christom Rweyemamu na wa kwanza kulia ni mjumbe wa kamati ya bodi.

Na Nathaniel...

 

10 years ago

Dewji Blog

TAMWA yawataka waandishi wa habari kujikita kuripoti unyanyasaji wa kijinsia

IMG_3162

Mkufunzi Wence Mushi akitoa elimu kwa wanahabari waliokutana mkoani Iringa.

Na Fredy Mgunda, Iringa

Waandishi wa habari wametakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo.

Msisitizo huo ulitolewa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa waandishi wa habari wa mikoa ya nyanda za juu kusini...

 

11 years ago

GPL

WAANDISHI WAHIMIZWA KUZINGATIA MAADILI KWENYE KURIPOTI BUNGE LA KATIBA‏

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Sululu Hassan akifungua warsha ya siku moja kwa wahariri na waandishi wa habari juu ya nafasi ya watetezi wa Haki za Binadamu katika Katiba mpya. Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Ndg. Onesmo Olengurumwa akitoa mada juu ya ya mtazamo na jukumu la wabunge wa katiba na waandishi wa habari za katiba pamoja na watetezi wa haki za binadamu… ...

 

10 years ago

Habarileo

Upelelezi wa kesi ya Uamsho bado

KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) Shekhe Farid Hadi Ahmed (45) na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi bado wanasota rumande kwa kwa kuwa upelelezi wa kesi bado haujakamilika.

 

11 years ago

Habarileo

Kiongozi wa Uamsho aunganishwa kesi ugaidi

KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho Zanzibar, Shekhe Farid Hadi Ahmed (45) ameunganishwa na washitakiwa 19 wa kesi ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

10 years ago

Mwananchi

Hakimu ajitoa kesi ya jumuiya ya Uamsho

Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Hellen Liwa amejitoa kusikiliza kesi ya ugaidi inayowakabili viongozi 23 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani