Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waandishi wazuiwa kesi ya IPTL

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.KATIKA hali ya kushangaza, Mahakama Kuu, Kitengo cha Biashara imewazuia waandishi wa habari kuingia mahakamani kusikiliza maombi ya kampuni ya Pan Africa Power Solutions (PAP) na Kampuni ya Independent Power Tanzania (IPTL) kwa Bodi ya Rufaa ya Kodi nchini, kutaka Kamishna Mkuu wa TRA akamatwe na kupelekwa gerezani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Waandishi wazuiwa kuripoti kesi ya Uamsho

Dar es Salaam. Waandishi wa habari jana walizuiwa kuripoti kesi ya ugaidi inayowakabili viongozi 23 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

11 years ago

Mwananchi

Waandishi wa habari wazuiwa

Bunge Maalumu la Katiba limepitisha kanuni ya kuwazuia waandishi wa habari kuingia katika vikao vya kamati za chombo hicho, hatua ambayo inaelezwa ni kinyume na Katiba inayotoa uhuru wa wananchi kupata habari.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi ya MCL na IPTL yaanza kutajwa

Kesi ya madai inayoikabili kampuni ya Mwananchi Communications Ltd iliyofunguliwa na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeanza kutajwa katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi wizi IPTL kusikilizwa Februari

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Februari 24, 2014 itaanza kusikiliza ushahidi wa kesi ya wizi wa mafuta yenye thamani ya Sh 970.6 milioni ya kulainisha mitambo ya kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), inayowakabili watu wanane.

 

11 years ago

Mwananchi

Msajili Mahakama Kuu ashtushwa na kesi IPTL

>Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Amiri Musumi ameshtushwa na taarifa kuwa hukumu ya kesi ya Tanesco dhidi ya Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), ilimalizika saa 8:30 usiku.

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya IPTL kupinga maamuzi ya Bunge yakwama

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na kampuni nyingine mbili.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya IPTL kupinga maazimio ya Bunge leo

Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kampuni za IPTL, Pan Africa Power Solutions(T) Limited na Harbinder Singh Seth katika Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga maazimio ya Bunge kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow, itaanza kusikilizwa leo baada ya kupangiwa majaji watatu.

 

10 years ago

Habarileo

Mahakama Kuu yasitisha kesi ya IPTL kuuza hisa

MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Biashara imesimamisha usikilizwaji wa shauri la kupinga kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kuuza hisa zake kwa kampuni ya Piper Link Investment Limited, ambayo kwa sasa ni Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP).

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya IPTL yapigwa kalenda hadi mwisho wa mwaka

Kesi ya kupinga maazimio ya Bunge iliyokuwa ianze kusikilizwa leo imeahirishwa hadi siku ya kufunga mwaka Desemba 31, 2014.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani