Kesi ya IPTL kupinga maazimio ya Bunge leo
Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kampuni za IPTL, Pan Africa Power Solutions(T) Limited na Harbinder Singh Seth katika Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga maazimio ya Bunge kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow, itaanza kusikilizwa leo baada ya kupangiwa majaji watatu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Dec
Kesi ya IPTL, PAP kupinga maamuzi ya Bunge leo
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imepanga leo kuanza kusikiliza kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na kampuni nyingine mbili, kupinga utelekezaji wa maazimio ya Bunge kuhusu sakata la akaunti ya Tegeta Escrow.
10 years ago
Habarileo24 Dec
Kesi ya IPTL kupinga maamuzi ya Bunge yakwama
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na kampuni nyingine mbili.
11 years ago
Habarileo25 Sep
Uamuzi kesi kupinga Bunge Maalum leo
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajia kutoa uamuzi wa kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge la Katiba.
10 years ago
GPLBUNGE LAAHIRISHWA BAADA YA WABUNGE KUPINGA BAADHI YA MAAZIMIO YA KUWALINDA WATUHUMIWA WA SAKATA LA ESCROW
10 years ago
Vijimambo29 Nov
HAYA NDIO BAADHI YA MAAZIMIO YALIYOSABABISHA BUNGE KUAHIRISHWA KWA KUPINGA BAADHI YA MAADHIMIO YA KUWALINDA WATUHUMIWA WA SAKATA LA ESCROW
MAAZIMIO
Pendekezo la kwanza la kumkamata na kumfilisi bwana Seth lina marekebisho ya serikali, naibu waziri wa Sheria anasema haiwezekani
Pendekezo la pili kuhusu Rugemalira, serikali imeweka marekebisho kuhusu uhalali wa pesa za Rugemalira alizogawa
Azimio la TATU limerekebishwa kuwa waliopokea pesa wachunguzwe na kuchukuliwa hatua mahususi kwa mujibu wa sheria
Pendekezo la NNE. Kamati inazitaka mamlaka kuzitangaza benki za Mkombozi na Stanbic kama asasi za utakatishaji fedha
Azimio la 4...
11 years ago
Habarileo24 Sep
Utata kesi ya Kubenea kupinga Bunge Maalum
KESI ya kikatiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge la Katiba, jana imeibua utata baada ya majaji kubaini maana mbili tofauti ya kifungu cha 25(2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Namba 83 ya mwaka 2011.
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Kesi kupinga Bunge la Katiba yahamia Dar
11 years ago
Mwananchi28 Aug
Kesi ya kupinga Bunge la Katiba yapangiwa majaji watatu
11 years ago
Mwananchi03 Oct
TLS yafungua kesi kupinga Bunge la Katiba J’tatu