Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi ya IPTL, PAP kupinga maamuzi ya Bunge leo

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es SalaamMAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imepanga leo kuanza kusikiliza kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na kampuni nyingine mbili, kupinga utelekezaji wa maazimio ya Bunge kuhusu sakata la akaunti ya Tegeta Escrow.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kesi ya IPTL kupinga maamuzi ya Bunge yakwama

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na kampuni nyingine mbili.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya IPTL kupinga maazimio ya Bunge leo

Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kampuni za IPTL, Pan Africa Power Solutions(T) Limited na Harbinder Singh Seth katika Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga maazimio ya Bunge kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow, itaanza kusikilizwa leo baada ya kupangiwa majaji watatu.

 

10 years ago

Habarileo

Uamuzi kesi kupinga Bunge Maalum leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajia kutoa uamuzi wa kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge la Katiba.

 

10 years ago

Habarileo

IPTL, PAP zapinga Bunge mahakamani

Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) na Pan AfricaPower Solutions (T) Ltd, Joseph Mwakandege akizungumza na waandishi wa habari kuhusu sakata la ununuzi wa IPTL. Kushoto ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya IPTL na PAP, Harbinder Singh Sethi. KAMPUNI za Pan Africa Power Solution Tanzania Limited (PAP) na Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) na Harbinder Singh Sethi, wamefungua kesi ya kikatiba kupinga utekelezaji wa maazimio ya Bunge yaliyotolewa kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), inayodaiwa kuchotwa zaidi ya Sh bilioni 300.

 

10 years ago

Habarileo

Utata kesi ya Kubenea kupinga Bunge Maalum

KESI ya kikatiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge la Katiba, jana imeibua utata baada ya majaji kubaini maana mbili tofauti ya kifungu cha 25(2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Namba 83 ya mwaka 2011.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi kupinga Bunge la Katiba yahamia Dar

 Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa Mahakama Kuu Moshi na wananchi wawili wakitaka kusimamishwa kwa mchakato wa Katiba Mpya likiwamo Bunge la Maalumu la Katiba, sasa imehamishiwa Jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya kupinga Bunge la Katiba yapangiwa majaji watatu

Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imeanza mchakato wa kusikiliza kesi dhidi ya Bunge la Katiba baada ya kupanga jopo la majaji wa kuisikiliza.

 

10 years ago

Mwananchi

TLS yafungua kesi kupinga Bunge la Katiba J’tatu

Wakati Bunge Maalumu la Katiba likihitimisha rasmi vikao vyake jana, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimefungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kupinga mwenendo wa Bunge hilo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

IPTL/PAP yawaonya wanasiasa

KAMPUNI ya IPTL/PAP imewataka wanasiasa kutambua kwamba kampuni hiyo sio mali ya serikali, bali inazalisha na kuuza umeme. Imesema kuendelea kujadili masuala ya ndani ya uendeshaji ikiwemo namna ya kuzalisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani