Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utata kesi ya Kubenea kupinga Bunge Maalum

KESI ya kikatiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge la Katiba, jana imeibua utata baada ya majaji kubaini maana mbili tofauti ya kifungu cha 25(2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Namba 83 ya mwaka 2011.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HUKUMU YA KESI YA KUBENEA KUHUSU BUNGE MAALUM LA KATIBA‏

Wakili wa Saed Kubenea, Peter Kibatala. Mahakama Kuu ya Tanzania iliyokaa chini ya Judges Augustine Mwarija, Aloysius Mujulizi na Dr Fauz Twaib imetoa uamuzi wake leo kufuatia maombi ya Saed Kubenea kama ifuatavyo; 1.Kuna mgongano mkubwa kati ya toleo la Kiswahili na Toleo la Kiingereza la kifungu cha 25 (2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba. 2. Kwamba pamoja na mgongano huo, Sheria imekusudia kwamba Madaraka ya Bunge Maalum la...

 

10 years ago

Habarileo

Uamuzi kesi kupinga Bunge Maalum leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajia kutoa uamuzi wa kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge la Katiba.

 

9 years ago

Global Publishers

Dk. Didas Masaburi afuta kesi ya kupinga Ubunge wa Saed Kubenea

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo, Dk Didas Massaburi. Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo, Dk Didas Massaburi, Dk Didas Massaburi ameamua kutoendelea na kesi ya kupinga ushindi wa Saed Kubenea wa Chadema kwenye uchaguzi wa Jimbo la Ubungo aliyokuwa amefungua Mahakama Kuu. Massaburi, aliyegombea kiti hicho kwa tiketi ya CCM, alifungua kesi hiyo Namba 8 ya mwaka 2015, akidai kuwa Kubenea alitoa rushwa, katika maeneo mbalimbali, huku pia akimlalamikia msimamizi wa uchaguzi kuwa hakumtendea...

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya IPTL kupinga maamuzi ya Bunge yakwama

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na kampuni nyingine mbili.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi kupinga Bunge la Katiba yahamia Dar

 Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa Mahakama Kuu Moshi na wananchi wawili wakitaka kusimamishwa kwa mchakato wa Katiba Mpya likiwamo Bunge la Maalumu la Katiba, sasa imehamishiwa Jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya IPTL kupinga maazimio ya Bunge leo

Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kampuni za IPTL, Pan Africa Power Solutions(T) Limited na Harbinder Singh Seth katika Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga maazimio ya Bunge kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow, itaanza kusikilizwa leo baada ya kupangiwa majaji watatu.

 

10 years ago

Mwananchi

TLS yafungua kesi kupinga Bunge la Katiba J’tatu

Wakati Bunge Maalumu la Katiba likihitimisha rasmi vikao vyake jana, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimefungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kupinga mwenendo wa Bunge hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya IPTL, PAP kupinga maamuzi ya Bunge leo

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es SalaamMAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imepanga leo kuanza kusikiliza kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na kampuni nyingine mbili, kupinga utelekezaji wa maazimio ya Bunge kuhusu sakata la akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya kupinga Bunge la Katiba yapangiwa majaji watatu

Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imeanza mchakato wa kusikiliza kesi dhidi ya Bunge la Katiba baada ya kupanga jopo la majaji wa kuisikiliza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani