Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waandishi wa habari wazuiwa

Bunge Maalumu la Katiba limepitisha kanuni ya kuwazuia waandishi wa habari kuingia katika vikao vya kamati za chombo hicho, hatua ambayo inaelezwa ni kinyume na Katiba inayotoa uhuru wa wananchi kupata habari.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waandishi wazuiwa kesi ya IPTL

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.KATIKA hali ya kushangaza, Mahakama Kuu, Kitengo cha Biashara imewazuia waandishi wa habari kuingia mahakamani kusikiliza maombi ya kampuni ya Pan Africa Power Solutions (PAP) na Kampuni ya Independent Power Tanzania (IPTL) kwa Bodi ya Rufaa ya Kodi nchini, kutaka Kamishna Mkuu wa TRA akamatwe na kupelekwa gerezani.

 

10 years ago

Mwananchi

Waandishi wazuiwa kuripoti kesi ya Uamsho

Dar es Salaam. Waandishi wa habari jana walizuiwa kuripoti kesi ya ugaidi inayowakabili viongozi 23 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU

 Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani), ndani ya Idara ya Habari MAELEZO,mapema leo jijini Dar kuhusiana na matokeo ya harambee ya Media Car Wash for Cancer Campaign, inayoendelea nchini.  Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo...

 

10 years ago

Michuzi

Waandishi wa habari watakiwa kuwa makini na habari za uchaguzi 2015 wanazoziripoti

Mhandisi Kisaka kutoka TCRA makao makuu akitoa somo kwa viongozi wa vyombo vya habari kanda ya Nyanda za juu kusini.
Na Edwin Moshi, MbeyaVyombo vya habari nchini vimetakiwa kuwa makini na kuripoti habari za uchaguzi mkuu wa mwaka huu kufuata maadili na weledi wa taaluma hiyo ili kufanikisha uchaguzi huo kwa amani
Hayo yamesemwa leo jijini Mbeya na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA wakati wakiwapa semina mameneja na wamiliki wa vyombo vya habari vilivyopo kanda ya nyanda za juu kusini...

 

9 years ago

StarTV

Waandishi wa habari wajengewa uwezo Mtwara kuandika Habari Za Gesi Na Mafuta

Mradi wa kuwajengea uwezo waandishi wa habari wanaoandika habari za gesi na mafuta katika nchi tatu za Afrika, Tanzania, Uganda na Ghana unaoendeshwa na chama cha waandishi wa habari za Mazingira JET pamoja na wadau wengine umeanza kuzaa matunda baada ya kuwepo kwa ongezeko la habari zinazogusa sekta hiyo mpya hapa nchini.

Katika awamu ya pili ya mafunzo hayo kwa waandishi wa habari wanane wa Tanzania ambao hapo awali walihudhuria mafunzo hayo mjini Accra Ghana, imebainishwa kuwa tangu...

 

10 years ago

Michuzi

WAANDISHI HABARI WA ZANZIBAR WAPATIWA MBINU BORA ZA KURIPOTI HABARI ZA UCHAGUZI MKUU.

 Mwandishi Mkongwe wa Tasnia ya Habari Tanzania ambae pia ni Mkurugenzi wa Internews Tanzania Valerie N. Msoka akifafanua kitu kwa wandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo juu ya kuripoti uchaguzi Mkuu. Mkurugenzi wa Shirika la Internews kanda ya Afrika Ian Noble akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari juu ya kuripoti habari za Uchaguzi, alipotembelea katika mafunzo hayo huko ukumbi wa watu wenye ulemavu Kikwajuni Weles Mjini Zanzibar.Mkurugenzi wa Shirika...

 

10 years ago

Vijimambo

WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR WAPATA MAFUNZO YA SIKU TANO YA JINSI YA KURIPOTI HABARI ZA UCHAGUZI

Afisa Mwandamizi Baraza la Habari Tanzania Ofisi ya Zanzibar Shifaa Said Hassan (aliesimama) akifahamisha kitu katika mafunzo ya siku tano yalimaliza jana Agosti 28 yaliyoandaliwa na Shirika la Habari la Marekani Internews kwa waandishi wa Habari wa Zanzibar katika Ukumbi wa Umoja wa watu wenye Ulemavu Kikwajuni Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.Mwandishi Mkongwe wa Tasnia ya Habari Tanzania ambae pia ni Mkurugenzi wa Internews Tanzania Valerie N. Msoka akifafanua...

 

5 years ago

Michuzi

JET YAENDELEA KUWANOA WAANDISHI WA HABARI KUANDIKA HABARI ZINAZOHUSU UHIFADHI WA MAZINGIRA,WANYAMAPORI


Na Said Mwishehe,Michuzi TV

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania(JET) imevikumbusha vyombo vya habari nchini kuwa vinavyo nafasi kubwa ya kuwezesha watunga sera kutunga sera zitakazosaidia kukabiliana na biashara haramu ya wanyama pori pamoja na ujangili.

Kwa upande wa jamii nayo imeelezwa wanalo jukumu la kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya uhifadhi wa mazingira na wanyamapori kusimama imara katika kukomesha uharibifu wa mazingira na zaidi biashara haramu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani