Waandishi wa habari watakiwa kuwa makini na habari za uchaguzi 2015 wanazoziripoti
Mhandisi Kisaka kutoka TCRA makao makuu akitoa somo kwa viongozi wa vyombo vya habari kanda ya Nyanda za juu kusini.
Na Edwin Moshi, MbeyaVyombo vya habari nchini vimetakiwa kuwa makini na kuripoti habari za uchaguzi mkuu wa mwaka huu kufuata maadili na weledi wa taaluma hiyo ili kufanikisha uchaguzi huo kwa amani
Hayo yamesemwa leo jijini Mbeya na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA wakati wakiwapa semina mameneja na wamiliki wa vyombo vya habari vilivyopo kanda ya nyanda za juu kusini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAANDISHI HABARI WA ZANZIBAR WAPATIWA MBINU BORA ZA KURIPOTI HABARI ZA UCHAGUZI MKUU.
10 years ago
VijimamboWAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR WAPATA MAFUNZO YA SIKU TANO YA JINSI YA KURIPOTI HABARI ZA UCHAGUZI
10 years ago
Dewji Blog25 Aug
Shirika la Habari la Marekani la Internews laendesha mafunzo ya kuripoti habari za uchaguzi mkuu kwa waandishi wa ZNZ
Mhadhiri wa Sheria, Kitivo cha Sheria Zanzibar University, Ali Uki akionyesha kitabu cha Sheria cha Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kitabu cha Sheria cha Tanzania na cha Zanzibar ambavyo vinawapasa waandishi wa habari kuvisoma na kuzitumia sheria hizo katika kuandika habari za Uchaguzi Mkuu kwa usahihi.
Mkufunzi na Mwandishi Mkongwe wa Tasnia ya Habari Zanzibar Salim Said Salim akitoa mada katika mafunzo ya siku tano juu ya kuandika Habari za Uchaguzi Mkuu yaliyoandaliwa na...
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA HABARI LA MAREKANI INERNEWS LAANDAA MAFUNZO YA SIKU TANO KWA WAANDISHI WA HABARI WA ZANZIBAR JUU YA KURIPOTI UCHAGUZI MKUU.
10 years ago
Dewji Blog04 Oct
Vyama vitano vimekutana na waandishi wa habari kuzungumzia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015

Viongozi wa vyama vya siasa vitano AFP, UMD, CHAHUSTA, JAHAZI ASILIA NA DEMOKRASIA MAKINI kwa pamoja tumeungana kutoa wito kwa wanasiasa wenzetu, viongozi wa dini na wananchi wote kwa jumla kuhusiana na uchaguzi huu unaotarajiwa kufanyika ifikapo tarehe 25/10/2015
Tamko hili ni pamoja na:-
1.Tunawapongeza wagombea wote wa nafasi ya Urais kwa kuendelea kufanya kampeni kwa njia ya amani na Utulivu.
2.Tunawataka watanzania wote waliojiandikisha kupiga kura wajitokeze kwa wingi siku ya...
10 years ago
MichuziWaandishi wa habari nyanda za juu kusini wanolewa juu ya habari za uchaguzi
Semina hiyo inaendeshwa kwa pamoja na shirika la utangazaji la Uingereza BBC na baraza la habari Tanzania MTC.(Picha na Edwin Moshi wa...
10 years ago
Mtanzania15 Oct
Waandishi wa habari watakiwa kufuata maadili
NA ESTHER MNYIKA, DAR ES SALAAM
WADAU wa habari wamewataka waandishi wa habari kufuata maadili ya taaluma yao ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu kuwa huru na haki.
Akizungumza Dar es Salaam juzi katika Kongamano la Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC), Ofisa Habari kwa Umma wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, aliyemwakilishi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, alisema wadau wote wa habari wanajua kuwa uchaguzi mara nyingi unasababisha matatizo...
10 years ago
Dewji Blog13 May
Waandishi wa Habari watakiwa kuepuka lugha za chuki
Meza kuu. (Picha zote na Geofrey Adroph wa Pamoja blog).
Mshehereshaji wa Semina Bi. Rose Mwalongo akiwakaribisha washiriki wote waliofika kwenye semina ya siku mbili iliyoandaliwa na shirika lisilo la kiserikali nchini la International Association of women in radio and television (AWRTT) kwa kushirikiana na Ethical Journalism Network ambapo wamewakutanisha wanahabari mbalimbali kutoka nchini Tanzania pamoja na nchi za Afrika.
Na Mwandishi wetu
Ikiwa Tanzania inajiandaa kwa ajili ya...