Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi ya Yona, Mramba, Mgonja kuendelea leo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo itaendelea kusikiliza kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara inayomkabili Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani Nishati na Madini, Daniel Yona

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HUKUMU YA MRAMBA, MGONJA NA YONA YAPIGWA KALENDA

  Baadhi ya wasikilizaji wa kesi hiyo wakiwa kwenye chumba maalum kabla ya kuingia mahakamani. Ndugu wa Mgonja wakiteta jambo. Mgonja akiwafuatiwa na Mramba kwa nyuma wakitoka mahakamani muda mfupi baada ya kesi hiyo kuahirishwa.…

 

10 years ago

GPL

HUKUMU YA MRAMBA, YONA NA MGONJA YAAHIRISHWA HADI JULAI 3, 2015

Basir Mramba (kulia), Gray Mgonja (kushoto) na Daniel Yona wakiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar. Habari: Denis Mtima na Brighton Masalu / GPL HUKUMU ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basir Mramba, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Gray Mgonja na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona imeahirishwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam hadi Julai 3, mwaka huu. Vigogo hao wanakabiliwa na...

 

10 years ago

GPL

HUKUMU YA YONA, MRAMBA NA MGONJA KUSIKILIZWA MUDA MFUPI UJAO

Gray Mgonja (mbele) akiwa na Basil Mramba (wa pili kushoto) wakiwa eneo la mahakama. HUKUMU ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Gray Mgonja na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona, itaanza kusikilizwa muda mfupi ujao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Watuhumiwa wote watatu tayari wamewasili mahakamani wakisubiri hukumu yao kuanza kusomwa...

 

10 years ago

Daily News

Mramba, Yona jailed three years for office abuse; Mgonja set free


MINING.com
Mramba, Yona jailed three years for office abuse; Mgonja set free
Daily News
TEARS and disbelief reigned at the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam on Monday morning, as two former cabinet ministers bid goodbye to their family members whom they will hardly interact with - at least for the next three years.
Tanzania jails former finance, mining ministers over gold dealNews24
Tanzania jails two former finance ministers for graftThe Standard Digital News (satire) (press...

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya akina Mramba kuendelea leo

KESI ya matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7 inayomkabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na wenzake, itaendelea kusikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KESI YA BASIL MRAMBA NA DANIEL YONA MWANZO MWISHO.

Na Bashir YakubuWiki  chache zilizopita, yaani Tarehe  6  JULY,  2015  mahakama  ya  Hakimu Mkazi ya Kisutu  ya jijini Dar es salaam ilitoa  hukumu  katika kesi  maarufu  na  ya  muda  mrefu   iliyokuwa  ikiwakabili  mawaziri  wa  zamani  wawili  na  katibu  mkuu  mmoja. 



Blog  hii  iliripoti  kwa  ufupi   matokeo  ya  kesi  hiyo    na  kuahidi  kutoa  ufafanuzi  wa  kitaalam  hapo  baadae  kupitia  wanasheria  wake. 
 Kwa kuwa  GLOBU YA JAMII imekuwa  mstari  wa  mbele  kueleza  masuala  ya ...

 

10 years ago

TheCitizen

Mramba, Yona jailed

Dar es Salaam. There were audible groans of disbelief and visible freely-flowing tears at the Kisutu Resident Magistrate’s Court yesterday after former cabinet ministers Basil Mramba, 75, and Daniel Yona, 76, were sentenced to serve three years in jail for abuse of office and causing Sh11.7 billion loss to the government.

 

10 years ago

GPL

MRAMBA, YONA WAKESHA...

Mramba (kushoto) akiteta jambo na wakili wake, Peter Swai baada ya Mahakama kumhukumu miaka mitatu jela na faini ya shilingi milioni tano. Harun sanchawa na denis mtima
JOTO ya jiwe! Wafungwa wawili wapya katika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam, Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na mwenzake wa Nishati na Madini, Daniel Yona, wanadaiwa kukesha huku wakilia katika siku wakianza kutumikia kifungo chao cha miaka...

 

10 years ago

Habarileo

Mramba, Yona watupwa jela

Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba akiteta na Wakili wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana. Kushoto kwake ni aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona. Picha ndogo kulia ni Mramba na Yona wakipanda kwenye gari la Polisi. (Na Mpigapicha Wetu).VILIO na simanzi vilitawala katika eneo la mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona, kuhukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani