kesi ya kikatiba dhidi ya Waziri Mkuu yapigwa kalenda
Na Miriam Mosses MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imepiga kalenda kutoa uamuzi wa kesi ya kikatiba dhidi ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda hadi Mei 19 mwaka huu, itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na upande wa Jamhuri. Uamuzi huo ulipangwa kutolewa jana lakini iliahirishwa mbele ya Msajiri Benedicto Mwingwa baada ya jopo linalosikiliza kesi hiyo kuwa bado halijamaliza kuandika uamuzi huo. Kesi hiyo inasikilizwa na jopo la majaji waatu likiongozwa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-0jvxFfaYQeY/UwJKWyXChiI/AAAAAAAFNo0/2kw_G8dwI2k/s72-c/images.jpg)
Naibu mwanasheria mkuu aomba mahakama kuu itupilie mbali kesi ya kikatiba dhidi ya waziri mkuu
![](http://4.bp.blogspot.com/-0jvxFfaYQeY/UwJKWyXChiI/AAAAAAAFNo0/2kw_G8dwI2k/s1600/images.jpg)
George Masaju (pichani) amedai mahakamani katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) dhidi Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba kwa mujibu wa katiba mamlaka ya mahakama kuingilia mwenendo wa bunge yameondolewa.
Pia, Mhe Masaju amedai kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi bunge halina mamlaka ya kuingilia mwenendo wa mahakama na kwamba kesi iliyopo mahakamani haina mashiko ya kisheria mahakama...
11 years ago
MichuziKESI YA MRAMBA YAPIGWA KALENDA
Mapema mwaka jana Jopo la mahakimu watatu linalosikiliza kesi hiyo, likiongozwa na Jaji John...
5 years ago
Bongo514 Feb
Kesi ya Scorpion yapigwa kalenda
Kesi ya inayomkabili Salum Njwete, maarufu ‘Scorpion’ ya unyang’anyi kwa kutumia silaha imeahirishwa hadi Mei 2 mwaka huu, kufuatia shahidi namba nane kwenye kesi hiyo kushindwa kufika mahakamani hapo.
Kesi hiyo iliahirishwa Jumanne hii na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Flora Haule, kwa kuongozwa na Wakili wa Serikali, Cheses Gavyiole, baada ya Deus Magosa (45), ambaye ni shahidi wa nane upande wa Jamhuri katika kesi hiyo ya kumjeruhi kwa kumtoboa macho Saidi Mrisho, kushindwa...
11 years ago
Habarileo06 Mar
Kesi ya EPA yapigwa kalenda
KESI ya wizi wa Sh milioni 207 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) imeahirishwa kutokana na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rajab Maranda anayekabiliwa na kesi hiyo, amelazwa hospitali.
11 years ago
Mwananchi20 May
Kesi ya Pinda yapigwa kalenda
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Kesi ya Zitto yapigwa kalenda
KESI iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA) ya kupinga kujadili uanachama wake kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeahirishwa hadi Aprili mosi. Kesi hiyo iliahirishwa jana...
10 years ago
Habarileo21 Mar
Kesi ya Ponda yapigwa kalenda
KESI inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda, ambayo kwa sasa ipo kwenye hatua ya utetezi haikuendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani hapa, baada ya hakimu anayesikiliza kesi hiyo kutofika mahakamani hapo jana.
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Kesi ya Halima Mdee yapigwa kalenda
10 years ago
GPLKESI BILIONEA WA UNGA YAPIGWA KALENDA