Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi ya kugombea maiti yapigwa kalenda

MKE wa pili wa marehemu ,Stephen Assei (52) ,Fortunata Lyimo ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, kumpatia siku 14 kwa ajili ya kutafuta wakili atakayemsaidia katika kesi ya kugombea maiti....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo5

Kesi ya Scorpion yapigwa kalenda

Kesi ya inayomkabili Salum Njwete, maarufu ‘Scorpion’ ya unyang’anyi kwa kutumia silaha imeahirishwa hadi Mei 2 mwaka huu, kufuatia shahidi namba nane kwenye kesi hiyo kushindwa kufika mahakamani hapo.

Kesi hiyo iliahirishwa Jumanne hii na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Flora Haule, kwa kuongozwa na Wakili wa Serikali, Cheses Gavyiole, baada ya Deus Magosa (45), ambaye ni shahidi wa nane upande wa Jamhuri katika kesi hiyo ya kumjeruhi kwa kumtoboa macho Saidi Mrisho, kushindwa...

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya EPA yapigwa kalenda

KESI ya wizi wa Sh milioni 207 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) imeahirishwa kutokana na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rajab Maranda anayekabiliwa na kesi hiyo, amelazwa hospitali.

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya Ponda yapigwa kalenda

Shehe Ponda Issa PondaKESI inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda, ambayo kwa sasa ipo kwenye hatua ya utetezi haikuendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani hapa, baada ya hakimu anayesikiliza kesi hiyo kutofika mahakamani hapo jana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya Zitto yapigwa kalenda

KESI iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA) ya kupinga kujadili uanachama wake kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeahirishwa hadi Aprili mosi. Kesi hiyo iliahirishwa jana...

 

11 years ago

Michuzi

KESI YA MRAMBA YAPIGWA KALENDA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepiga kalenda kesi ya kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 11.7 kwa matumizi mabaya ya madaraka leo aprili 22, hadi hapo itakapotajwa tena kwa ajili ya kuangalia amri iliyotolewa Novemba 20, mwaka 2013 itakavyotekelezwa ya kutoa misamaha ya kodi, inayowakabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na wenzake ya matumizi . 
 Mapema mwaka jana Jopo la mahakimu watatu linalosikiliza kesi hiyo, likiongozwa na Jaji John...

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi ya Pinda yapigwa kalenda

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana ilishindwa kutoa uamuzi wa pingamizi la Jamhuri katika kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa mara ya pili mfululizo na sasa imepanga kuutoa Juni 6, mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

KESI YA PONDA YAPIGWA KALENDA TENA

Sheikh Ponda akiwa eneo la Mahakama. Wakili…

 

10 years ago

Habarileo

Kesi ya ubakaji ya Mbasha yapigwa kalenda

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, imeendelea kupiga kalenda kesi ya ubakaji inayomkabili mume wa mwimbaji wa muziki wa injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) hadi Novemba 14 mwaka huu kutokana na shahidi kufiwa na ndugu yake.

 

9 years ago

Mwananchi

Kesi ya Halima Mdee yapigwa kalenda

Kesi inayomkabili Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Halima Mdee na wenzake nane iliyokuwa isikilizwe kesho, sasa itasikilizwa Oktoba 8, 2015 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani