Kesi ya epa kusikilizwa Agosti 25 na 29, 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-ewGePZYcc7M/U-tqT6sdbiI/AAAAAAAF_N4/XR2UMtSC15c/s72-c/1.jpg)
Mshtakiwa wa kwanza Rajabu Maranda anayekabiliwa na kesi ya wizi wa sh.milioni 207.2 za Akaunti ya Madeni ya Nje (Epa) na wenzake wanne, jana alilazimika kufika mahakamani kusikiliza kesi yake akiwa amelala kwenye kiti cha kutembelea kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya mgongo.Mahakama ya Kisutu jana ilipanga kuendelea kusikiliza ushahidi wa upande wa utetezi lakini ilishindwa kuendelea baada ya mwenyekiti wa jopo la mahakimu watatu wanaosikiliza kesi hiyo kuwa na udhuru wa kikazi.Madai...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-EpSywlLn9cg/U9p1uuVagkI/AAAAAAAF8Es/VBsJKkoM5HE/s72-c/wmhando.jpg)
Kesi inayomkabili Mkurugenzi wa zamani wa Tanesco,Willam Mhando na Wenzake kusikilizwa Agosti 26
![](http://3.bp.blogspot.com/-EpSywlLn9cg/U9p1uuVagkI/AAAAAAAF8Es/VBsJKkoM5HE/s1600/wmhando.jpg)
Mhando na wenzake wanakabiliwa na mashitaka sita ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia Sh. Milioni 31.7 kwa njia ya udanganyifu.
Kesi ilipangwa kusikilizwa ushahidi huo, Julai 29 na 30, mwaka huu mbele ya Hakimu Mkazi...
10 years ago
GPLKESI YA KIBONDE, GADNER KUSIKILIZWA TENA NOVEMBA 5 NA 21, 2014
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-HkSDUgrMq4o/Uw4OLTH4xfI/AAAAAAAFP1c/UunTmJEISNI/s72-c/TZ_-Cleric.jpg)
KESI YA SHEIK PONDA KUSIKILIZWA TENA MACHI 3,2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-HkSDUgrMq4o/Uw4OLTH4xfI/AAAAAAAFP1c/UunTmJEISNI/s1600/TZ_-Cleric.jpg)
Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Augustino Mwarija baada ya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tN-A-UXrq6w/U-ti-EuAW8I/AAAAAAAF_Nk/rhO-hNEW1Vk/s72-c/download.jpg)
kesi ya bosi wa bandari na msaidizi wake: upelelezi wakamilika, maelezo ya awali kusikilizwa septemba 11, 2014
![](http://2.bp.blogspot.com/-tN-A-UXrq6w/U-ti-EuAW8I/AAAAAAAF_Nk/rhO-hNEW1Vk/s1600/download.jpg)
Na Sultani Kipingo, MahakamaniUPANDE wa Jamhuri katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Mlamkala ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ephraimu Mgawe na msaidizi wake, umedai kwamba upelelezi umekamilika dhidi ya tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka kwa kusaini mkataba wa kuipa kazi Kampuni ya Ujenzi ya China Communications Ltd bila kutangaza zabuni.Madai hayo yalitolewa leo na upande wa Jamhuri katika kesi hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mfawidhi, Isaya Arufani kwamba...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3v9ncL00ffs/VJf72HR2AtI/AAAAAAAAC9Q/TGFD34WTT44/s72-c/image.jpg)
NEWZ ALERT:JOHNSON LUKAZA WA KESI YA EPA ASHINDA KESI
![](http://2.bp.blogspot.com/-3v9ncL00ffs/VJf72HR2AtI/AAAAAAAAC9Q/TGFD34WTT44/s640/image.jpg)
Na Happiness Katabazi (UB)HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwachilia huru Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa Sh.Bilioni Sita Katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu(EPA), baada ya kumuona Hana hatia Katika Kesi iliyokuwa ikimkabili.
Hukumu hiyo Imetolewa Jaji wa Mahakama Kuu Edson Mkasimongwa aliyekuwa alisaidia na Hakimu Mkazi Pamela Mazengo....
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Kesi ya Ponda kusikilizwa leo
10 years ago
Mtanzania18 May
Kesi ya Wakenya kusikilizwa Arusha
Na Mtua Salira, EANA
KESI ya mauaji na unyang’anyi wa kutumia silaha inayowakabili raia wa Kenya waliotiwa mbaroni nchini Msumbiji na kuhamishiwa Tanzania miaka tisa iliyopita, itasikilizwa na Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) Arusha Mei, 21, 2015.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na mahakama hiyo mjini hapa jana, ilisema kesi hiyo ijulikanayo kama Onyango na wenzake tisa, wanadaiwa kutenda makosa hayo mjini Moshi na itasikilizwa kwa siku moja.
Wakenya hao...
11 years ago
Habarileo06 Mar
Kesi ya EPA yapigwa kalenda
KESI ya wizi wa Sh milioni 207 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) imeahirishwa kutokana na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rajab Maranda anayekabiliwa na kesi hiyo, amelazwa hospitali.
10 years ago
Habarileo03 Nov
Waliofungwa kesi ya EPA waachiwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachia huru wafanyabiashara watatu, wakiwemo mume na mke, waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 13 na miezi sita jela kwa sababu ya wizi wa Sh bilioni 1.1 katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya (EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).