Kesi ya Wakenya kusikilizwa Arusha
Na Mtua Salira, EANA
KESI ya mauaji na unyang’anyi wa kutumia silaha inayowakabili raia wa Kenya waliotiwa mbaroni nchini Msumbiji na kuhamishiwa Tanzania miaka tisa iliyopita, itasikilizwa na Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) Arusha Mei, 21, 2015.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na mahakama hiyo mjini hapa jana, ilisema kesi hiyo ijulikanayo kama Onyango na wenzake tisa, wanadaiwa kutenda makosa hayo mjini Moshi na itasikilizwa kwa siku moja.
Wakenya hao...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Kesi ya Ponda kusikilizwa leo
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Mawakili wakwamisha kesi ya Ponda kusikilizwa
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Kesi ya Rita Jeptoo yaanza kusikilizwa
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Kesi ya Liz yaanza kusikilizwa Kenya
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ewGePZYcc7M/U-tqT6sdbiI/AAAAAAAF_N4/XR2UMtSC15c/s72-c/1.jpg)
Kesi ya epa kusikilizwa Agosti 25 na 29, 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-ewGePZYcc7M/U-tqT6sdbiI/AAAAAAAF_N4/XR2UMtSC15c/s1600/1.jpg)
11 years ago
Habarileo12 Aug
Kesi ya Maranda yakwama kusikilizwa Muhimbili
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana ilishindwa kuhamia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kusikiliza utetezi wa kada wa CCM Rajab Maranda anayekabiliwa na kesi ya wizi wa Sh milioni 207 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA).
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
Kesi ya kina Lipumba kusikilizwa Julai 29
KESI inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake 30, itasikilizwa siku tatu mfululizo kuanzia Julai 29, mwaka huu.
Kesi hiyo inasikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Cyprian Mkeha, ambapo itaanza kusikilizwa Julai 29 hadi 31.
Wakili wa Serikali Mkuu Tumaini Kweka, alidai mahakamani hapo jana kwamba, shauri lilipangwa kwa kutajwa na kwamba, lilikwisha kupangiwa tarehe ya kusikilizwa.
Washitakiwa watano katika kesi hiyo...
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Kesi wizi IPTL kusikilizwa Februari
10 years ago
Habarileo09 Dec
Kesi ya Ponda yakwama tena kusikilizwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro jana ilishindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda kutokana na mgongano wa kiutawala na kukosekana kwa nakala ya hukumu ya rufaa iliyompa ushindi Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.