Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi ya Liz yaanza kusikilizwa Kenya

Mshukiwa wa ubakaji aliyekuwa miongoni mwa genge la watu waliombaka Liz na kumtupa ndani ya shimo, inaanza kusikilizwa leo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kesi ya Rita Jeptoo yaanza kusikilizwa

Kesi ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu ya bingwa mara tatu wa Boston Marathon Rita Jeptoo wa Kenya imeanza leo hii mjini Nairobi lakini chama cha riadha kimesema hakitatangaza hukumu ya Jeptoo hadi wiki ijayo.

 

10 years ago

Michuzi

KESI YA MAUAJI YA ALBINO AARON NONGO YAANZA KUSIKILIZWA TENA

Na Daniel Mbega, Mwanza
KESI ya mauaji ya Aaron Nongo mwenye ulemavu wa ngozi (albino) imeanza kusikilizwa tena leo hii kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya kusimama kwa miezi takriban mitano.
Shauri hilo namba 213 la mwaka 2014 liko mbele ya Jaji Robert Makaramba, ambaye ndiyo kwanza ameanza kulisikiliza baada ya jaji wa awali, Ashery Sumari, kupewa uhamisho.
Washtakiwa katika kesi hiyo walikuwa watano, lakini leo hii mahakama imearifiwa kwamba mmoja – Paulo Budeba Genji maarufu kama...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kesi ya ugaidi ya Westgate yaanza Kenya

Kesi ya washukiwa wanne wa shambulizi la kigaidi la Westgate lililofanyika nchini Kenya mwaka jana, imeanza rasmi nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hatimaye waliombaka Liz wahukumiwa Kenya

Hatimaye haki imetendeka baada ya watu watatu waliombaka msichana mdogo Liz kuhukumiwa kifungo cha mika 15 jela nchini Kenya

 

11 years ago

GPL

HUKUMU YA LIYUMBA YAANZA KUSIKILIZWA

Amatus Liyumba. HUKUMU ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba imeanza kusomwa muda huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Hukumu hiyo inasomwa na Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando. Liyumba ameingia mahakamani hapo kwa siri… ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maombi ya Sheikh Farid yaanza kusikilizwa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imeanza kusikiliza maombi ya Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Sheikh Farid Hadi Ahmed (43) na wenzake yaliyoomba Mahakama ipitie kesi...

 

5 years ago

Michuzi

MASHAURI 157 YAANZA KUSIKILIZWA NA MAHAKAMA YA RUFANI NCHINI

Mawakili wa Serikali na wa kujitegemea wakiwa kwenye chumba cha Mahakama ya wazi kilichopo katika Mahakama ya Rufani Tanzania, Jijini Dar es salaam, kwa ajili kuendeshea mashauri kwa njia ya “Mahakama Mtandao” (kulia) ni Wakili Msomi wa kujitegemea Bw. Clement Kihoko na (kushoto) ni Wakili wa Serikali Mwandamizi Bi. Jenipha Masue.Kifaa maalumu kinachotumika kuendeshea mashauri kwa njia ya Mahakama Mtandao kilicho andaliwa kwa ajili ya kusikilizia mashauri wakati wa vikao vya Mahakama ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya Ponda kusikilizwa leo

Kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, inaendelea kusikilizwa leo kwa shahidi wa tatu kutoa ushahidi wake.

 

10 years ago

Mtanzania

Kesi ya Wakenya kusikilizwa Arusha

Na Mtua Salira, EANA

KESI ya mauaji na unyang’anyi wa kutumia silaha inayowakabili raia wa Kenya waliotiwa mbaroni nchini Msumbiji na kuhamishiwa Tanzania miaka tisa iliyopita, itasikilizwa na Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) Arusha Mei, 21, 2015.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na mahakama hiyo mjini hapa jana, ilisema kesi hiyo ijulikanayo kama Onyango na wenzake tisa, wanadaiwa kutenda makosa hayo mjini Moshi na itasikilizwa kwa siku moja.
Wakenya hao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani