Kesi ya Ponda kusikilizwa leo
Kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, inaendelea kusikilizwa leo kwa shahidi wa tatu kutoa ushahidi wake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo09 Dec
Kesi ya Ponda yakwama tena kusikilizwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro jana ilishindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda kutokana na mgongano wa kiutawala na kukosekana kwa nakala ya hukumu ya rufaa iliyompa ushindi Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Mawakili wakwamisha kesi ya Ponda kusikilizwa
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-HkSDUgrMq4o/Uw4OLTH4xfI/AAAAAAAFP1c/UunTmJEISNI/s72-c/TZ_-Cleric.jpg)
KESI YA SHEIK PONDA KUSIKILIZWA TENA MACHI 3,2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-HkSDUgrMq4o/Uw4OLTH4xfI/AAAAAAAFP1c/UunTmJEISNI/s1600/TZ_-Cleric.jpg)
Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Augustino Mwarija baada ya...
10 years ago
Habarileo17 Sep
Kesi Bunge Maalum kuanza kusikilizwa leo
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inaanza kusikiliza kesi ya Kikatiba, iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Saidi Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge Maalumu la Katiba, linaloendelea mkoani Dodoma.
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Kesi ya kusafirisha twiga hai kusikilizwa leo
9 years ago
Bongo505 Oct
Kesi ya kuamua kama Oscar Pistorius ataachiwa huru kusikilizwa leo
9 years ago
Habarileo18 Nov
Hukumu kesi ya Shehe Ponda leo
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoani hapa leo inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya jinai inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda. Hukumu hiyo iliahirishwa kutolewa Oktoba 19, mwaka huu baada ya Hakimu Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Mary Moyo kushindwa kukamilisha kuiandika kutokana na matatizo ya kiafya yaliyokuwa yakimkabili.
11 years ago
Habarileo20 Feb
Ombi la Shekhe Ponda kusikilizwa Machi 26
OMBI la marejeo lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda, litasikilizwa Machi 26 mwaka huu katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam.
10 years ago
Mtanzania18 May
Kesi ya Wakenya kusikilizwa Arusha
Na Mtua Salira, EANA
KESI ya mauaji na unyang’anyi wa kutumia silaha inayowakabili raia wa Kenya waliotiwa mbaroni nchini Msumbiji na kuhamishiwa Tanzania miaka tisa iliyopita, itasikilizwa na Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) Arusha Mei, 21, 2015.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na mahakama hiyo mjini hapa jana, ilisema kesi hiyo ijulikanayo kama Onyango na wenzake tisa, wanadaiwa kutenda makosa hayo mjini Moshi na itasikilizwa kwa siku moja.
Wakenya hao...