Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi ya kusafirisha twiga hai kusikilizwa leo

Kesi ya uhujumu uchumi ya kusafirisha wanyamapori hai wakiwamo twiga wanne kutoka Tanzania kwenda Jiji la Doha Qatar, itaendelea kusikilizwa leo kwa siku mbili mfululizo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kesi ya kusafirisha twiga kwenye ndege yakwama

UPANDE wa mashitaka katika kesi ya usafirishaji wa wanyama hai aina ya twiga kwenda Doha, Qatar wameomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kilimanjaro, kutoa hati ya kukamata mshitakiwa wa kwanza raia wa Pakstani, Kamran Ahmed ambaye hakufika mahakamani.

 

11 years ago

Mwananchi

Mshtakiwa namba moja kukosekana kesi ya twiga hai

Moshi. Kesi ya kutorosha wanyamapori hai 152 wakiwamo twiga wanne kwenda Uarabuni inatarajiwa kuunguruma leo bila kuwapo kwa mshtakiwa namba moja, Kamran Ahmed.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya Ponda kusikilizwa leo

Kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, inaendelea kusikilizwa leo kwa shahidi wa tatu kutoa ushahidi wake.

 

10 years ago

Habarileo

Kesi Bunge Maalum kuanza kusikilizwa leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inaanza kusikiliza kesi ya Kikatiba, iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Saidi Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge Maalumu la Katiba, linaloendelea mkoani Dodoma.

 

9 years ago

Bongo5

Kesi ya kuamua kama Oscar Pistorius ataachiwa huru kusikilizwa leo

Bodi ya parole jijini Johannesburg, Afrika Kusini ilitarajiwa kutoa uamuzi wa kama itamwachia huru Oscar Pistorius kutoka gerezeni Jumatatu hii. Bodi hiyo ilikutana jijini Durban mwezi uliopita lakini iliahirisha kesi yake kwa wiki mbili. Katika kipindi hicho idara ya haki ilisema haikupata muda wa kumaliza kesi ya Pistorius kutokana na kuwa na mambo ya kuyapitia. […]

 

10 years ago

Vijimambo

Wapakistan 12 Wanaokabiliwa na Kesi ya Kusafirisha Dawa za Kulevya Wameomba Wapigwe Risasi Baada ya Kesi yao Kuzungushwa Kisutu ‪

Raia 12 wa Iran na Pakistan wanaokabiliwa na kesi ya kukutwa na kuingiza nchini dawa za kulevya aina ya heroin kilo 200.5, zenye thamani ya sh. bilioni 9.02, wamelalamikia kucheleweshwa kwa kesi yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Washtakiwa hao ni Kapteni Ayoub Mohamed, Buksh Mohamed, Fahiz Dauda, Khalid Ally, Abdul Somad, Saeed Sahury, Bashir Afraz, Morad Gwaram na Hazir Azad, wote raia wa Iran ambao walikamatwa kwenye Bahari ya Tanzania.
Wengine ni Buksh Mohamed,...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Swissport ndiyo iliyopakiza twiga hai’

Shahidi wa 31 katika kesi ya kutorosha wanyama hai wakiwamo twiga wanne kwenda Uarabuni kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ameitaja Kampuni ya Swissport ndiyo iliyohusika na kazi ya upakiaji wanyama hao.

 

10 years ago

Mtanzania

Kesi ya Wakenya kusikilizwa Arusha

Na Mtua Salira, EANA

KESI ya mauaji na unyang’anyi wa kutumia silaha inayowakabili raia wa Kenya waliotiwa mbaroni nchini Msumbiji na kuhamishiwa Tanzania miaka tisa iliyopita, itasikilizwa na Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) Arusha Mei, 21, 2015.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na mahakama hiyo mjini hapa jana, ilisema kesi hiyo ijulikanayo kama Onyango na wenzake tisa, wanadaiwa kutenda makosa hayo mjini Moshi na itasikilizwa kwa siku moja.
Wakenya hao...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kesi ya Liz yaanza kusikilizwa Kenya

Mshukiwa wa ubakaji aliyekuwa miongoni mwa genge la watu waliombaka Liz na kumtupa ndani ya shimo, inaanza kusikilizwa leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani