Kesi ya kusafirisha twiga kwenye ndege yakwama
UPANDE wa mashitaka katika kesi ya usafirishaji wa wanyama hai aina ya twiga kwenda Doha, Qatar wameomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kilimanjaro, kutoa hati ya kukamata mshitakiwa wa kwanza raia wa Pakstani, Kamran Ahmed ambaye hakufika mahakamani.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Kesi ya kusafirisha twiga hai kusikilizwa leo
11 years ago
Habarileo26 Feb
‘Nilishiriki kupakia twiga kwenye ndege’
SHAHIDI wa 20 katika kesi ya utoroshaji wa wanyama hai aina ya twiga kwenda Arabuni, amedai kushuhudia wanyama hao wakipakiwa katika ndege saa nane usiku.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-SMaREi8F-VE/VTdksjpG7MI/AAAAAAAAbWc/6PPo7mQ8TK4/s72-c/1.jpg)
Wapakistan 12 Wanaokabiliwa na Kesi ya Kusafirisha Dawa za Kulevya Wameomba Wapigwe Risasi Baada ya Kesi yao Kuzungushwa Kisutu ‪
![](http://2.bp.blogspot.com/-SMaREi8F-VE/VTdksjpG7MI/AAAAAAAAbWc/6PPo7mQ8TK4/s640/1.jpg)
Wengine ni Buksh Mohamed,...
11 years ago
Habarileo03 Apr
Kesi ya Shehe Ponda yakwama
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro leo imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda. Kesi hiyo haikuanza kusikilizwa, kutokana na jalada halisi kutorejeshwa kwenye mahakama hiyo kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-Zrnzcj8-g6s/VWb5P6wOu8I/AAAAAAAAeCk/KTWjpKxDhVo/s72-c/1.jpg)
Kesi ya Mbasha Yakwama tena
![](http://1.bp.blogspot.com/-Zrnzcj8-g6s/VWb5P6wOu8I/AAAAAAAAeCk/KTWjpKxDhVo/s640/1.jpg)
Kesi ya ubakaji inayomkabili mwanamuziki wa nyimbo za injili ambaye ni mume wa Flora Mbasha kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imesogezwa tena mbele kutokana na kutokuwepo kwa mwendesha mashtaka anayeisimamia kesi hiyo. Kesi hiyo ya Emmanuel Mbasha ilitakiwa kuendelea baada ya mashahidi kuwepo eneo la tukio kabla ya hakimu mkazi Flora Mjaya kuairisha mpaka Mei 29, 2015 kutokana na kutokuwepo kwa mwendesha mashtaka Nassoro Katuga.
Mashahidi wawili wameshatoa ushahidi huku mmojawapo akiwa ...
10 years ago
Habarileo09 Dec
Kesi ya Ponda yakwama tena kusikilizwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro jana ilishindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda kutokana na mgongano wa kiutawala na kukosekana kwa nakala ya hukumu ya rufaa iliyompa ushindi Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo01 May
Kesi ya Sheikh Ponda yakwama tena
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro kwa mara nyingine jana, imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Taasisi na Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa, kutokana na jadala la kesi hiyo, ambalo liko Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kutorejeshwa mahakamani hapo.
11 years ago
Habarileo12 Aug
Kesi ya Maranda yakwama kusikilizwa Muhimbili
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana ilishindwa kuhamia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kusikiliza utetezi wa kada wa CCM Rajab Maranda anayekabiliwa na kesi ya wizi wa Sh milioni 207 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA).
10 years ago
Habarileo24 Dec
Kesi ya IPTL kupinga maamuzi ya Bunge yakwama
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na kampuni nyingine mbili.