Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi ya Ponda yakwama tena kusikilizwa

Shehe Ponda Issa PondaMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro jana ilishindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda kutokana na mgongano wa kiutawala na kukosekana kwa nakala ya hukumu ya rufaa iliyompa ushindi Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kesi ya Sheikh Ponda yakwama tena

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro kwa mara nyingine jana, imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Taasisi na Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa, kutokana na jadala la kesi hiyo, ambalo liko Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kutorejeshwa mahakamani hapo.

 

11 years ago

Michuzi

KESI YA SHEIK PONDA KUSIKILIZWA TENA MACHI 3,2014

MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imesema itasikiliza Machi 3, mwaka huu pingamizi la awali la Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP) la kupinga maombi  ya kufanya marejeo kuhusu kuliondoa shitaka la kukaidi amri halali iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam dhidi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda kwa sababu maombi hayo hayana mashiko ya kisheria.
Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Augustino Mwarija baada ya...

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya Maranda yakwama kusikilizwa Muhimbili

 Rajab MarandaMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana ilishindwa kuhamia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kusikiliza utetezi wa kada wa CCM Rajab Maranda anayekabiliwa na kesi ya wizi wa Sh milioni 207 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA).

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya Shehe Ponda yakwama

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro leo imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda. Kesi hiyo haikuanza kusikilizwa, kutokana na jalada halisi kutorejeshwa kwenye mahakama hiyo kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya Ponda kusikilizwa leo

Kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, inaendelea kusikilizwa leo kwa shahidi wa tatu kutoa ushahidi wake.

 

10 years ago

Mwananchi

Mawakili wakwamisha kesi ya Ponda kusikilizwa

Kesi inayomkabili katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Shekh Ponda Issa Ponda jana ilishindikana kusikilizwa, huku mawakili wa pande mbili za mashtaka na utetezi wakivutana kuhusu haki ya mshtakiwa kupewa dhamana.

 

10 years ago

Vijimambo

Kesi ya Mbasha Yakwama tena


Kesi ya ubakaji inayomkabili mwanamuziki wa nyimbo za injili ambaye ni mume wa Flora Mbasha kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imesogezwa tena mbele kutokana na kutokuwepo kwa mwendesha mashtaka anayeisimamia kesi hiyo. Kesi hiyo ya Emmanuel Mbasha ilitakiwa kuendelea baada ya mashahidi kuwepo eneo la tukio kabla ya hakimu mkazi Flora Mjaya kuairisha mpaka Mei 29, 2015 kutokana na kutokuwepo kwa mwendesha mashtaka Nassoro Katuga.
Mashahidi wawili wameshatoa ushahidi huku mmojawapo akiwa ...

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya kutorosha wanyama hai yakwama tena

KESI ya utoroshwaji wa wanyama hai zaidi ya 100 kwenda Doha, Qatar, inayowakabili washtakiwa wanne katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi, imekwama tena baada ya mshtakiwa wa kwanza, Kamran Ahmed kutofika mahakamani hapo bila taarifa.

 

10 years ago

GPL

KESI YA KIBONDE, GADNER KUSIKILIZWA TENA NOVEMBA 5 NA 21, 2014

Kibonde na Gadner wakiingia kwenye Mahakama ya Kinondoni leo. Gadner akielekea chumba cha mahakama. Gadner na Kibonde wakitoka eneo hilo la mahakama.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani