Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KESI YA SHEIK PONDA KUSIKILIZWA TENA MACHI 3,2014

MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imesema itasikiliza Machi 3, mwaka huu pingamizi la awali la Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP) la kupinga maombi  ya kufanya marejeo kuhusu kuliondoa shitaka la kukaidi amri halali iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam dhidi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda kwa sababu maombi hayo hayana mashiko ya kisheria.
Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Augustino Mwarija baada ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kesi ya Ponda yakwama tena kusikilizwa

Shehe Ponda Issa PondaMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro jana ilishindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda kutokana na mgongano wa kiutawala na kukosekana kwa nakala ya hukumu ya rufaa iliyompa ushindi Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

KESI YA KIBONDE, GADNER KUSIKILIZWA TENA NOVEMBA 5 NA 21, 2014

Kibonde na Gadner wakiingia kwenye Mahakama ya Kinondoni leo. Gadner akielekea chumba cha mahakama. Gadner na Kibonde wakitoka eneo hilo la mahakama.…

 

11 years ago

Habarileo

Ombi la Shekhe Ponda kusikilizwa Machi 26

OMBI la marejeo lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda, litasikilizwa Machi 26 mwaka huu katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya Ponda kusikilizwa leo

Kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, inaendelea kusikilizwa leo kwa shahidi wa tatu kutoa ushahidi wake.

 

10 years ago

Mwananchi

Mawakili wakwamisha kesi ya Ponda kusikilizwa

Kesi inayomkabili katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Shekh Ponda Issa Ponda jana ilishindikana kusikilizwa, huku mawakili wa pande mbili za mashtaka na utetezi wakivutana kuhusu haki ya mshtakiwa kupewa dhamana.

 

10 years ago

Michuzi

KESI YA MAUAJI YA ALBINO AARON NONGO YAANZA KUSIKILIZWA TENA

Na Daniel Mbega, Mwanza
KESI ya mauaji ya Aaron Nongo mwenye ulemavu wa ngozi (albino) imeanza kusikilizwa tena leo hii kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya kusimama kwa miezi takriban mitano.
Shauri hilo namba 213 la mwaka 2014 liko mbele ya Jaji Robert Makaramba, ambaye ndiyo kwanza ameanza kulisikiliza baada ya jaji wa awali, Ashery Sumari, kupewa uhamisho.
Washtakiwa katika kesi hiyo walikuwa watano, lakini leo hii mahakama imearifiwa kwamba mmoja – Paulo Budeba Genji maarufu kama...

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya Sheikh Ponda yakwama tena

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro kwa mara nyingine jana, imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Taasisi na Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa, kutokana na jadala la kesi hiyo, ambalo liko Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kutorejeshwa mahakamani hapo.

 

10 years ago

GPL

KESI YA PONDA YAPIGWA KALENDA TENA

Sheikh Ponda akiwa eneo la Mahakama. Wakili…

 

10 years ago

Michuzi

Kesi ya epa kusikilizwa Agosti 25 na 29, 2014

Mshtakiwa wa kwanza  Rajabu Maranda anayekabiliwa na kesi ya wizi wa sh.milioni 207.2 za Akaunti ya Madeni ya Nje (Epa) na wenzake wanne, jana alilazimika kufika mahakamani kusikiliza kesi yake akiwa amelala kwenye kiti cha kutembelea kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya mgongo.Mahakama ya Kisutu jana ilipanga kuendelea kusikiliza ushahidi wa upande wa utetezi lakini ilishindwa kuendelea baada ya mwenyekiti wa jopo la mahakimu watatu wanaosikiliza kesi hiyo kuwa na udhuru wa kikazi.Madai...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani