Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ombi la Shekhe Ponda kusikilizwa Machi 26

OMBI la marejeo lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda, litasikilizwa Machi 26 mwaka huu katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ombi la Shekhe Ponda latupwa

 Flora Mwakasala MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali ombi la mapitio lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kwa kuwa limewasilishwa kinyume cha sheria.

 

11 years ago

Habarileo

Ombi la Shekhe Ponda kutolewa maamuzi leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo itatoa uamuzi wa kusikiliza au kukataa ombi la Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda.

 

11 years ago

Habarileo

Korti kuamua hatma ya ombi la Shekhe Ponda

HATIMA ya ombi la marejeo lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda itajulikana leo wakati Mahakama ya Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali. Jaji Augustine Mwarija anatarajia kutoa uamuzi huo, kutokana na pingamizi la awali, lililowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), akidai kuwa ombi hilo halina msingi kisheria.

 

11 years ago

Michuzi

KESI YA SHEIK PONDA KUSIKILIZWA TENA MACHI 3,2014

MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imesema itasikiliza Machi 3, mwaka huu pingamizi la awali la Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP) la kupinga maombi  ya kufanya marejeo kuhusu kuliondoa shitaka la kukaidi amri halali iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam dhidi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda kwa sababu maombi hayo hayana mashiko ya kisheria.
Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Augustino Mwarija baada ya...

 

10 years ago

Habarileo

Shekhe Ponda aachiwa huru

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda (mwenye kanzu) akiingia Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam jana kusikiliza kesi inayomkabili. (Picha na Yusuf Badi).MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemwachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kutokana na upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha makosa dhidi yake.

 

11 years ago

Habarileo

DPP amng’ang’ania Shekhe Ponda

MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP) amewasilisha hati ya kupinga ombi la marejeo, lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kwa madai haliruhusiwi kisheria.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya Ponda kusikilizwa leo

Kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, inaendelea kusikilizwa leo kwa shahidi wa tatu kutoa ushahidi wake.

 

10 years ago

Mwananchi

Ombi la Sheikh Ponda ‘latupwa’

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeyatupilia mbali maombi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ya kuitaka isimamishe kesi ya uchochezi inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro hadi itakapotoa uamuzi wa rufaa yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Mawakili wakwamisha kesi ya Ponda kusikilizwa

Kesi inayomkabili katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Shekh Ponda Issa Ponda jana ilishindikana kusikilizwa, huku mawakili wa pande mbili za mashtaka na utetezi wakivutana kuhusu haki ya mshtakiwa kupewa dhamana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani