Korti kuamua hatma ya ombi la Shekhe Ponda
HATIMA ya ombi la marejeo lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda itajulikana leo wakati Mahakama ya Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali. Jaji Augustine Mwarija anatarajia kutoa uamuzi huo, kutokana na pingamizi la awali, lililowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), akidai kuwa ombi hilo halina msingi kisheria.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo19 Mar
Ombi la Shekhe Ponda latupwa
Flora Mwakasala MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali ombi la mapitio lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kwa kuwa limewasilishwa kinyume cha sheria.
11 years ago
Habarileo20 Feb
Ombi la Shekhe Ponda kusikilizwa Machi 26
OMBI la marejeo lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda, litasikilizwa Machi 26 mwaka huu katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam.
11 years ago
Habarileo10 Dec
Ombi la Shekhe Ponda kutolewa maamuzi leo
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo itatoa uamuzi wa kusikiliza au kukataa ombi la Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda.
10 years ago
Habarileo28 Nov
Shekhe Ponda aachiwa huru
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemwachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kutokana na upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha makosa dhidi yake.
11 years ago
Habarileo26 Feb
DPP amng’ang’ania Shekhe Ponda
MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP) amewasilisha hati ya kupinga ombi la marejeo, lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kwa madai haliruhusiwi kisheria.
11 years ago
Mwananchi08 Aug
Logarusic kuamua hatma Kiongera
10 years ago
Habarileo29 Aug
Majaji watatu kuamua hatma Bunge Maalum
JOPO la Majaji watatu linatarajia kusikiliza ombi kwa Mahakama itoe amri ya kusimamisha Bunge Maalumu la Katiba lililofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam.
11 years ago
BBCSwahili10 Jul
Scolari kuamua hatma yake baada ya kombe
10 years ago
Mwananchi04 Nov
Ombi la Sheikh Ponda ‘latupwa’