Scolari kuamua hatma yake baada ya kombe
Mkufunzi wa Brazil Luiz Felipe Scolari amesema ataamua mustakabali wake baada ya fainali ya kombe
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-e-5vKoe8xhM/VjNYm5sJhzI/AAAAAAAAn9c/BPfrE3lefsw/s72-c/1.jpg)
AUDIO : LEMBELI AELEZA HATMA YAKE BAADA YA KUUKOSA UBUNGE, AJIBU TETESI JUU YAKE IKIWEMO YA KUUZA REDIO YAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-e-5vKoe8xhM/VjNYm5sJhzI/AAAAAAAAn9c/BPfrE3lefsw/s640/1.jpg)
Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama Mjini, James Lembeli ameelezea kinachoendelea katika maisha yake ya kisiasa hasa baada ya kushindwa katika uchaguzi wa mwaka huu akiwa ndani ya chama chake kipya cha Chadema.
Akiongea katika taarifa rasmi kwa wananchi wa jimbo hilo, Lembeli amesema kuwa hivi sasa atajikita zaidi katika shughuli za chama chake pamoja na shughuli alizokuwa akizifanya kabla ya kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Alisema kuwa ataendelea kufanya kazi zake na mashirika ya kimataifa...
11 years ago
Mwananchi08 Aug
Logarusic kuamua hatma Kiongera
10 years ago
Habarileo29 Aug
Majaji watatu kuamua hatma Bunge Maalum
JOPO la Majaji watatu linatarajia kusikiliza ombi kwa Mahakama itoe amri ya kusimamisha Bunge Maalumu la Katiba lililofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo18 Mar
Korti kuamua hatma ya ombi la Shekhe Ponda
HATIMA ya ombi la marejeo lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda itajulikana leo wakati Mahakama ya Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali. Jaji Augustine Mwarija anatarajia kutoa uamuzi huo, kutokana na pingamizi la awali, lililowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), akidai kuwa ombi hilo halina msingi kisheria.
9 years ago
Bongo516 Dec
Roman Abramovich kuamua hatma ya Jose Mourinho Chelsea leo
Mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich atalazimika kumlipa Jose Mourinho zaidi ya pauni milioni 40 kama atamfukuza kazi ya kuwa kocha wa Chelsea kwenye kikao cha dharura siku ya Jumatano.
Abramovich alikuwa na mazungumzo na timu ya makocha – Bruce Buck, Marina Granovskaia, Eugene Tenenbum na Michael Emenalo – kuhusu mustakabali wa Mourinho.
Wakati Mreno huyo aliporejea klabuni hapo mwaka 2013, bodi ilimpigia kura 3-2 kumpendekeza yeye. Leo litakuwa suala jingine.
Mourinho anayelipwa...
10 years ago
Vijimambo23 Nov
Kikwete kupewa jukumu la kuamua hatma ya Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Shy-Rose Bhanji,
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Shy-rose(3).jpg)
Rais Kikwete anatarajiwa kuchukua Uenyekiti wa EAC baada ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki uliopangwa kufanyika jijini Nairobi, Kenya, Novemba 29 na 30 mwaka huu.
Mwenyekiti wa sasa wa EAC, Rais Uhuru Kenyatta, wa Kenya anamaliza muda wake mwezi huu na Raia Mwema...
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Mechi tano zitakazoamua hatma Afrika Kombe la Dunia, Brazil
MAADAMU kila kundi lina timu nne katika fainali ya Kombe la Dunia, kila moja itacheza mechi tatu kuwania tiketi mbili za kucheza hatua ya mtoano itakayokuwa na timu 16. Lakini,...
11 years ago
CloudsFM09 Jul
KOCHA WA BRAZIL,LUIZ FELIPE SCOLARI AFUNGUKA BAADA YA KIPIGO CHA MABAO 7 KWA 1 DHDI YA UJERUMANI
"Ni wakati mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kazi yangu ya ukocha na siku mbaya zaidi katika maisha yangu ya soka. Lakini maisha yanaendelea. Nani anawajibika kwa matokeo haya? Ni mimi, ni mimi. Lawama za matokeo haya mabaya zinaweza kutuhusisha wote, lakini mtu aliyeamua timu ya kucheza na mbinu nilikuwa mimi,alisema kocha huyo.
Lilikuwa chaguo langu. Tulijitahidi kufanya kila tuwezalo, tulicheza kwa kiwango chetu cha mwisho-lakini tumeishia dhidi ya timu kubwa ya Ujerumani. Hatukukata tamaa...
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Bunge kuamua kura yake leo
BUNGE Maalumu la Katiba leo litaamua aina ya kura itakayotumika kufanya uamuzi wakati wa kupitisha ibara au rasimu ya Katiba mpya. Hatua hiyo inatokana na wajumbe wa Bunge hilo kutofikia...