Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUDIO : LEMBELI AELEZA HATMA YAKE BAADA YA KUUKOSA UBUNGE, AJIBU TETESI JUU YAKE IKIWEMO YA KUUZA REDIO YAKE


Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama Mjini, James Lembeli ameelezea kinachoendelea katika maisha yake ya kisiasa hasa baada ya kushindwa katika uchaguzi wa mwaka huu akiwa ndani ya chama chake kipya cha Chadema.
Akiongea katika taarifa rasmi kwa wananchi wa jimbo hilo, Lembeli amesema kuwa hivi sasa atajikita zaidi katika shughuli za chama chake pamoja na shughuli alizokuwa akizifanya kabla ya kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Alisema kuwa ataendelea kufanya kazi zake na mashirika ya kimataifa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WATOTO WAMJIA JUU BABA YAO MZAZI BAADA YA KUTAKA KUUZA ARDHI YAKE ILIYOKO ENEO LA KIJENGE JIJINI ARUSHA


Na Woinde Shizza ,ARUSHA
MGOGORO wa kugombea mali ikiwemo ardhi na majengo umeibuka katika familia ya Mzee  Saimon  Kamakia mara baada ya watoto wa mzee huyo kumtuhumu baba yao kutaka kuwapora ardhi ambayo waliachiwa urithi baada ya marehemu mama yao,  kufariki dunia.
Kuibuka kwa mgogoro huo umeonekana umevuta hisia za wakazi wa eneo la Kijenge na ndani ya Jiji la Arusha na umesababisha kuvuruga amani ndani ya familia hiyo.
Baadhi ya watoto wa Mzee Kamakia akiwemo Nusin Kamakia walidai hatua ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Scolari kuamua hatma yake baada ya kombe

Mkufunzi wa Brazil Luiz Felipe Scolari amesema ataamua mustakabali wake baada ya fainali ya kombe

 

9 years ago

Habarileo

Kikwete aeleza ndoto yake baada ya urais

RAIS Jakaya Kikwete ameeleza ndoto yake baada ya muda wake wa urais kumalizika, kuwa ataanzisha taasisi ya maendeleo, itakayosimamia midahalo, semina na kongamano kwa maendeleo ya taifa.

 

9 years ago

Bongo5

Ray C aomba msamaha baada ya video yake akiwa mtupu kupostiwa kwenye akaunti yake ya Instagram

Ray new

Siku ya jana Nov.10 kuna video mbaya ya mwanadada Rehema Chalamila maarufu kama Ray C akiwa mtupu akikata mauno zilipostiwa kwenye akaunti yake ya Instagram (@rayc1982) na muda mfupi baadaye kufutwa.

Ray new

Akizungumza na U Heard ya Clouds Fm leo, Ray C amekiri kuwa ni kweli aliyeonekana kwenye video hiyo ni yeye.

“Ndio ni kweli video hiyo ilipostiwa kwenye akaunti yangu ila sio mimi niliyeipost.” Alisema Ray C.

Ray C aliongeza kuwa video hiyo alirekodiwa na mpenzi wake kwaajili ya matumizi...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe. Vicky Kamata aibuka na wimbo mpya wa "Moyo wa mtu kichaka" baada ya mikasa yake ya kuugua ghafla kabla ya ndoa yake

Mh. Vicky Kamata aliwasili Bungeni Dodoma na kama ilivyo ada alipokewa vizuri na kila mbunge aliyekutana nae.  Wabunge wengi walimpa pole baada ya kuugua siku chache kabla ya ndoa yake na kumtakia kila la kheri, huku wengi wakiamini kilichotokea ni mpango wa Mungu na kua Ndoa yake ipo na itakuwepo siku yoyote Mungu akiamua kulitimiza kusudi lake juu ya Mh. Vicky Kamata..   Wakati wabunge wengi wakimuhurumia na kudhani kua kutofungwa kwa ndoa yake kungemgharimu siku nyingi kurudi katika hali...

 

10 years ago

Bongo5

Drake aachia nyimbo 3 mpya siku moja baada ya Bday yake (Audio)

Siku moja baada ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa October 24, Drake ambaye ametimiza miaka 28 ameachia ngoma tatu mpya kwa mpigo. Drizzy ameachia nyimbo hizo kupitia website yake ya OvoSound pamoja na akaunti yake ya SoundCloud October 25. Majina ya ngoma hizo ni ‘6 God’, ‘Heat of the Moment’ pamoja na ile iliyovuja hivi […]

 

10 years ago

Vijimambo

EDMUND RUTARAKA AELEZEA MATARAJIO YAKE YA UBUNGE MOSHI MJINI NI BAADA YA KUCHUKUA FOMU.

Katibu Msaidizi wa CCM ,manispaa ya Moshi,Donatha Mushi akimkabidhi Edmund Emanuel Rutaraka fomu ya kugombea nafasi ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi kuwa mgombea wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini .Zoezi hili lilifanyika katika ofisi za CCM wilaya ya Moshi mjini.Picha ya Video imepigwa na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii Kanda ya Kaskazini.

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA BEKI WA PSG DAVID LUIZ KUPIGWA MATOBO JANA NA SUAREZ HIKI NDICHO KINACHOENDELEA JUU YAKE.



Standing tall or rooted to the ground? This web jokester likens Luiz to Paris's famous Eiffel Tower
This is just nuts! Luiz holds a superimposed jar of Nutella in front of a Parisian skyline in another meme
Luiz is spared in this one as the PSG badge takes centre stage

Familiar faces went head-to-head as ex-Chelsea defender Luiz met ex-Liverpool star Suarez - Keanu Reeves' Neo from the Matrix films had the words - in French no less - to say it all

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha wa Liverpool ahofia hatma yake

Mkufunzi wa timu ya liverpool Brendan Rodgers amesema kuwa anakabiliwa na tishio la kufutwa kutokana na msururu wa matokeo mabaya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani