Drake aachia nyimbo 3 mpya siku moja baada ya Bday yake (Audio)
Siku moja baada ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa October 24, Drake ambaye ametimiza miaka 28 ameachia ngoma tatu mpya kwa mpigo. Drizzy ameachia nyimbo hizo kupitia website yake ya OvoSound pamoja na akaunti yake ya SoundCloud October 25. Majina ya ngoma hizo ni ‘6 God’, ‘Heat of the Moment’ pamoja na ile iliyovuja hivi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo512 Dec
Nyimbo 2 za Nicki Minaj zavuja siku chache kabla ya album yake kutoka, moja ni collabo yake na Beyonce (zisikilize)
10 years ago
CloudsFM20 Nov
DIAMOND AACHIA AUDIO&VIDEO YA NGOMA YAKE MPYA IITWAYO NTAMPATA WAPI
Diamond Platinumz wakati akitambulisha ngoma yake mpya iitwayo Ntapata Wapi leo hii kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.
Hapa akichagua barua za wale waliotuma kwa ajili ya watoto wao wanaompenda Diamond na atakayeshinda atatembelewa na msanii huyo nyumbani kwake.
10 years ago
Dewji Blog24 Nov
Kala Jeremiah afanya uzinduzi wa Video na Audio ya nyimbo yake mpya ya “Usikate Tamaa”
Kala Jeremiah akichana mistari.
Mwanamziki wa Hip hop, Kala Jeremiah amezindua video yake ya Wimbo Usikate Tamaa aliomshirikisha Nuruell katika Ukumbi wa Maisha Club, jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Katika uzinduzi huo, Kala alisindikizwa na mastaa kibao wakiwemo MO Music, Ben Pol, La Veda, Stamina, Ney Lee ambao waliporomosha shoo za nguvu na kuzikonga nyoyo za mashabiki waliohudhuria uzinduzi huo. Kala Jeremiah amesema Audio na Video zinatarajia kutoka rasmi siku ya Jumatano...
10 years ago
Bongo502 Jan
Akon aachia nyimbo 5 mpya kwa mpigo kutoka kwenye album mpya ‘Stadium’
10 years ago
GPL26 Oct
10 years ago
Bongo513 Feb
Drake aachia albam mpya ‘If You’re Reading This It’s Too Late’ kwa kushtukiza
9 years ago
Bongo517 Oct
Nyimbo 4,000 zawasilishwa kwa Celine Dion baada ya kutangaza anahitaji kuandikiwa nyimbo mpya
9 years ago
Bongo516 Dec
Lipstick za Drake zamalizika dakika moja tu baada ya kuingia sokoni
![Tom-Ford-Lipstick-for-Drake-Bellanaija-October-2015001](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Tom-Ford-Lipstick-for-Drake-Bellanaija-October-2015001-300x194.jpg)
Lipstick za Drake kupitia brand ya Tom Ford zimemalizika dakika moja tu baada ya kuingia sokoni.
Lipstick hizo ni sehemu ya collection ya Tom Ford, Lips & Boys.
Kupitia Instagram, Drake amepost picha hiyo juu na kuandika: My mom bought all of them. Hey Ma.”
Lipstick hizi zilikuwa zikiuzwa kwa $35.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
MichuziMSANII WA NYIMBO ZA INJILI, MKOANI IRINGA REHEMA CHAWE AACHIA ALBAMU YAKE YA GOSPEL
MSANII wa nyimbo za Injili, nyanda za juu kusini Rehema Chawe ambaye ni Mwanachama wa chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA), anatarajia kuzindua albamu yake ya kwanza, inayoitwa Kusamehe ni afya.
Uzinduzi huo unatarajia kufanyika Jumapili, March 8, mwaka katika kanisa la EAGT, Frelimo kwa mchungaji Mwenda, ambaye ni Mwenyekiti wa makanisa ya Kipentekoste mkoani Iringa.
Akizungumza na wanahabari, Chawe alisema uzinduzi huo utapambwa na waimbaji...