Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kala Jeremiah afanya uzinduzi wa Video na Audio ya nyimbo yake mpya ya “Usikate Tamaa”

IMG_7739

Kala Jeremiah akichana mistari.

Mwanamziki wa Hip hop, Kala Jeremiah amezindua video yake ya Wimbo Usikate Tamaa  aliomshirikisha Nuruell katika Ukumbi wa Maisha Club, jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Katika uzinduzi huo, Kala alisindikizwa na mastaa kibao wakiwemo MO Music, Ben Pol, La Veda, Stamina, Ney Lee ambao waliporomosha shoo za nguvu na kuzikonga nyoyo za mashabiki waliohudhuria uzinduzi huo. Kala Jeremiah amesema Audio na Video zinatarajia kutoka rasmi siku ya Jumatano...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KALA JEREMIAH, LA VEDA, MO MUSIC, BEN POL, STAMINA, NEY LEE WAFUNIKA UZINDUZI WA VIDEO 'USIKATE TAMAA'

Kala Jeremiah (kushoto) na Nuruwell wakipafomu kwa mara ya kwanza wimbo wa Usikate Tamaa ndani ya Maisha Club. Kala Jeremiah akikamua sambamba na Ney Lee kabla ya kuzindua video yake ya Usikate Tamaa.…

 

10 years ago

CloudsFM

KALA JEREMIAH: NIMEOTESHWA KUANDIKA “USIKATE TAMAA”

Staa wa Hip Hop,Kala Jeremiah ambaye hivi karibuni alilamba mkataba wa kuwa balozi wa kampuni moja ya vinywaji kwa mwaka wa pili mfululizo. Kala Jeremiah ana mipango ya kuachia ngoma mpya inaitwa ‘’Usikate Tamaa’’, ina aminika kuwa itashika kushika katika level za Dear god, Kala anasema idea ya ngoma hiyo imeanzia ndotoni.

 

9 years ago

Bongo5

Kala Jeremiah adai nyimbo zake haziitaji kusafiri nje kufanya video

Rapper Kala Jeremiah amesema kuwa nyimbo anazofanya haziitaji kusafiri kwenda nje ili kufanya video. Kala ameiambia Bongo5 kuwa, nyimbo zake zinazungumzia matatizo ya kijamii hivyo zinahitaji mazingira ya nyumbani. “Sifikirii kwenda nje,” amesema. “Unajua aina ya nyimbo ninazofanya – Kala Jeremiah anafanya nyimbo zinazowahusu watanzania zaidi, zinahitaji location za kitanzania na uhalisia wa kitanzania. Unajikuta […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani