KALA JEREMIAH, LA VEDA, MO MUSIC, BEN POL, STAMINA, NEY LEE WAFUNIKA UZINDUZI WA VIDEO 'USIKATE TAMAA'
Kala Jeremiah (kushoto) na Nuruwell wakipafomu kwa mara ya kwanza wimbo wa Usikate Tamaa ndani ya Maisha Club. Kala Jeremiah akikamua sambamba na Ney Lee kabla ya kuzindua video yake ya Usikate Tamaa.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
10 years ago
Dewji Blog24 Nov
Kala Jeremiah afanya uzinduzi wa Video na Audio ya nyimbo yake mpya ya “Usikate Tamaa”
Kala Jeremiah akichana mistari.
Mwanamziki wa Hip hop, Kala Jeremiah amezindua video yake ya Wimbo Usikate Tamaa aliomshirikisha Nuruell katika Ukumbi wa Maisha Club, jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Katika uzinduzi huo, Kala alisindikizwa na mastaa kibao wakiwemo MO Music, Ben Pol, La Veda, Stamina, Ney Lee ambao waliporomosha shoo za nguvu na kuzikonga nyoyo za mashabiki waliohudhuria uzinduzi huo. Kala Jeremiah amesema Audio na Video zinatarajia kutoka rasmi siku ya Jumatano...
10 years ago
GPL27 Nov
10 years ago
CloudsFM19 Nov
KALA JEREMIAH: NIMEOTESHWA KUANDIKA “USIKATE TAMAA”
Staa wa Hip Hop,Kala Jeremiah ambaye hivi karibuni alilamba mkataba wa kuwa balozi wa kampuni moja ya vinywaji kwa mwaka wa pili mfululizo.
Kala Jeremiah ana mipango ya kuachia ngoma mpya inaitwa ‘’Usikate Tamaa’’, ina aminika kuwa itashika kushika katika level za Dear god, Kala anasema idea ya ngoma hiyo imeanzia ndotoni.
10 years ago
GPLWAKALI WA HIP HOP ROMA MKATOLIKI NA KALA JEREMIAH WAILETA 'NCHI YA AHADI' GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
GPL
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
11 years ago
GPLDC AZINDUA FILAMU YA 'MATESO YANGU UGHAIBUNI', UZINDUZI WAFANA
11 years ago
GPL
UZINDUZI WA FILAMU YA 'I LOVE MWANZA' HAUKUWA WA KISIASA - BONGO MOVIE
11 years ago
GPLBURUDANI ZATAWALA DAR LIVE KABLA YA UZINDUZI WA ALBAMU MPYA 'CHOZI LA MAMA'