Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYIMBO TATU MPYA ZA DRAKE

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Drake aachia nyimbo 3 mpya siku moja baada ya Bday yake (Audio)

Siku moja baada ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa October 24, Drake ambaye ametimiza miaka 28 ameachia ngoma tatu mpya kwa mpigo. Drizzy ameachia nyimbo hizo kupitia website yake ya OvoSound pamoja na akaunti yake ya SoundCloud October 25. Majina ya ngoma hizo ni ‘6 God’, ‘Heat of the Moment’ pamoja na ile iliyovuja hivi […]

 

9 years ago

Bongo5

Nyimbo 4,000 zawasilishwa kwa Celine Dion baada ya kutangaza anahitaji kuandikiwa nyimbo mpya

Ombi la Celine Dion kuhusu kuandikiwa nyimbo kwaajili ya album yake mpya ya Kifaransa, limepokelewa kwa mafuriko ya nyimbo zilizowasilishwa. Takriban nyimbo 4,000 zilitumwa kwenye website ya Dion na kampuni inayomsimamia hadi kufikia October 5. Mume wa Dion, ambaye pia ni meneja wake, Rene Angeli na CEO wa kampuni ya Les Feeling Productions, Aldo Giampaolo […]

 

10 years ago

Bongo5

Nyimbo zote 17 za mixtape/album ya Drake zaingia kwenye chart ya Billboard R&B/Hip-Hop Songs

Drake amevunja rekodi baada ya nyimbo zake zote 17 za kwenye mixtape/album ya kushtukiza, If You’re Reading This It’s Too Late kuingia kwenye chart ya Billboard R&B/Hip-Hop Songs. Kwa ujumla Drake anamiliki asilimia 42 ya nyimbo 50 zilizopo kwenye chart hiyo akiwa na jumla ya nyimbo 21. If You’re Reading This It’s Too Late imeendelea […]

 

11 years ago

Mwananchi

BENDI YA SKYLIGHTY: Mwaka mmoja, nyimbo tatu, studio

Licha ya kuwapo kwa bendi kongwe ambazo zimekuwa zikipiga muziki wa dansi kuanzia miaka ya 70, kama vile Msondo na Sikinde, kuna bendi mpya zinazopiga muziki wenye mahadhi ya Kiafrika ambazo zimekuwa na mashabiki wengi na kuwa gumzo Tanzania nzima.

 

9 years ago

Bongo5

Ommy Dimpoz ana nyimbo za albamu tatu ndani – Meneja

Ommy

Ommy Dimpoz ana nyimbo nyingi ndani zinazoweza kufikisha takriban albamu tatu.

Ommy

Akizungumza na Bongo5 Jumamosi iliyopita kwenye uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya, Achia Body, meneja wake, Mubenga, alisema mpaka sasa tayari wamesharekodi nyimbo nyingi ambazo zinasubiri muda wake tu.

“Sisi hatupaniki, tunaangalia target zetu kwenye muziki,” alisema. “Tunajiuliza sasa hivi inafaa kutoa ngoma? Kwa sababu ngoma tunazo, Ommy ana nyimbo kama albamu tatu, zingine hadi mimi nimeshazizoea naziona....

 

10 years ago

Bongo5

Akon aachia nyimbo 5 mpya kwa mpigo kutoka kwenye album mpya ‘Stadium’

Baada ya ukimya wa muda mrefu Akon ameachia nyimbo tano mpya kutoka kwenye album yake mpya anayotarajia kuitoa iitwayo “Stadium” ambayo itakuwa na nyimbo za genre tano tofauti. Akon ameachia nyimbo hizo kupitia website yake Akon.com Album ya “Stadium” itakuwa na album tano ndani yake na kila moja itawakilisha genre moja ambazo ni Euro, Pop, […]

 

9 years ago

Bongo5

Nay Wa Mitego: Mwaka huu nitaachia nyimbo sita badala ya tatu kama watu walivyozoea

nay new2

Nay Wa Mitego amesema kuwa moja ya mipango ya kuboresha kazi zake mwaka huu ni pamoja na kuongeza idadi ya nyimbo atakazoachia.

nay new2

Akizungumza na MTANZANIA, Ney wa Mitego alisema amekuwa akitoa nyimbo mbili au tatu kwa mwaka lakini katika mwaka huu anataka kuachia nyimbo sita.

“Nimekuwa nikitoa nyimbo mbili kwa mwaka au tatu, kwa sasa nataka nizidi kuwapa raha mashabiki wangu kwa mambo mazuri ambayo nimewaandalia mwaka huu, nitaachia nyimbo sita badala ya tatu kama watu walivyozoea,”...

 

10 years ago

Michuzi

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI BONNE MWAITEGE AZINDUA ALBAMU ZAKE TATU KWA MPIGO JIJINI DAR


????????????????????????????????????Askofu na Dokta Mwakibolwa wa EAGT pamoja na maaskofu wenzake wakiombea albam hizo kabla ya kuzizindua rasmi kushoto ni Alex Msama Mkurugenzi wa Kamuni ya Msama Promotion.????????????????????????????????????Askofu na Dokta Mwakibolwa wa EAGT akizindua rasmi albam hizo kushoto Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama.????????????????????????????????????Maaskofu na wachungaji wakiwa wameshikilia albam zao mara baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion.
????????????????????????????????????Baadhi ya maaskofu na wachungaji waliohudhuria katika uzinduzi huo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band wafanya uzinduzi rasmi wa nyimbo yao mpya ya Kariakoo pamoja na kutambulisha Studio yao mpya

skylight band 2

Meneja  wa Band ya Skylight Aneth Kushaba akielezea kwa kina uzinduzi Rasmi wa wimbo wao Mpya unaokwenda kwa jina la Kariakoo ambapo uzinduzi huo uliambatana na Video pamoja na Audio. Pia ametambulisha Rasmi Studio ya kurekodi Muziki ambapo sasa nyimbo zao watakuwa wanafanyia katika Studio yao.

skylight band

Kutoka kushoto ni mmoja wa waimbaji wa Skylight Band Sam Mapenzi, (katikati) ni Meneja wa Band hiyo Aneth Kushaba pamoja na Mwimbaji mwengine wa Skylight Band Joniko Flower wakiwa wanazungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani