Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ray C aomba msamaha baada ya video yake akiwa mtupu kupostiwa kwenye akaunti yake ya Instagram

Ray new

Siku ya jana Nov.10 kuna video mbaya ya mwanadada Rehema Chalamila maarufu kama Ray C akiwa mtupu akikata mauno zilipostiwa kwenye akaunti yake ya Instagram (@rayc1982) na muda mfupi baadaye kufutwa.

Ray new

Akizungumza na U Heard ya Clouds Fm leo, Ray C amekiri kuwa ni kweli aliyeonekana kwenye video hiyo ni yeye.

“Ndio ni kweli video hiyo ilipostiwa kwenye akaunti yangu ila sio mimi niliyeipost.” Alisema Ray C.

Ray C aliongeza kuwa video hiyo alirekodiwa na mpenzi wake kwaajili ya matumizi...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LULU AFUTA AKAUNTI YAKE INSTAGRAM

Muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ . MUIGIZAJI wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ aliyekuwa na wafuasi wengi kwenye Instagram, ameamua kujiondoa baada ya kushambuliwa kwa matusi na baadhi ya watu kufuatia kifo cha mtu aliyewahi kuwa mpenzi wake. Kufuatia kifo cha kutatanisha cha Lusekelo Samson Mwandenga ‘Secky’, watu wengi walianza kumtukana Lulu wakimhusisha pia na kifo...

 

10 years ago

Vijimambo

LULU AFUTA AKAUNTI YAKE YA INSTAGRAM KUFUATIA KIFO CHA MTU ALIYEDAIWA KUWA MPENZI WAKE

 Muigizaji wa filamu, Elizabeth ‘Lulu’ Michael mwenye wafuasi wengi kwenye Instagram, ameamua kujiondoa baada ya kushambuliwa kwa matusi na baadhi ya watu kufuatia kifo cha mtu aliyewahi kuwa mpenzi wake.
Kufuatia kifo cha kutatanisha cha Lusekelo Samson Mwandenga ‘Secky’, watu wengi walianza kumtukana Lulu wakimhusisha pia na kifo hicho huku pia wakipost picha zinazomuonesha alipokuwa na marehemu.Hata hivyo mujibu wa Global Publishers, familia ya Secky imeweka wazi chanzo halisi cha kifo...

 

9 years ago

Vijimambo

AUDIO : LEMBELI AELEZA HATMA YAKE BAADA YA KUUKOSA UBUNGE, AJIBU TETESI JUU YAKE IKIWEMO YA KUUZA REDIO YAKE


Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama Mjini, James Lembeli ameelezea kinachoendelea katika maisha yake ya kisiasa hasa baada ya kushindwa katika uchaguzi wa mwaka huu akiwa ndani ya chama chake kipya cha Chadema.
Akiongea katika taarifa rasmi kwa wananchi wa jimbo hilo, Lembeli amesema kuwa hivi sasa atajikita zaidi katika shughuli za chama chake pamoja na shughuli alizokuwa akizifanya kabla ya kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Alisema kuwa ataendelea kufanya kazi zake na mashirika ya kimataifa...

 

9 years ago

Bongo5

#Filledthedome: Mashabiki wa Cassper Nyovest wamkejeli AKA Instagram baada ya kupost picha ya show yake

Cassper n AKAUshindani baina ya rappers wa Afrika Kusini AKA na Cassper Nyovest sasa umehamia kwa mashabiki wao. Baada ya Cassper kuweka historia mpya Jumamosi iliyopita kwa kuwa msanii wa kwanza wa Afrika Kusini kujaza ukumbi wa The Dome peke yake wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 20,000 mashabiki wake wamemkejeli mpinzani wake AKA kwenye mitandao ya kijamii. […]

 

10 years ago

Bongo5

AY asema mama yake na Sean Kingston humchukulia kama mwanae,’ hata kwenye Instagram yangu ana comment’

AY amesema kuwa ukaribu alionao na msanii Mjamaica-Mmarekani, Sean Kingston ni zaidi ya urafiki wa kikazi kiasi ambacho wanachkuliana kama kama familia. AY ameiambia Bongo5 kuwa mama yake Sean humchukulia kama mtoto wake na wanawasiliana mara kwa mara. “Yaani huyu jamaa ananipa support asilimia 100 huwezi kuamini ni mtu ambaye si yeye tu hadi mama […]

 

9 years ago

Bongo5

Instagram yaboresha huduma yake ya ‘Instagram Direct’

Habari njema kwa watumiaji wa mtandao wa kushare picha wa Instagram ni kuwa, huduma ya ‘Instagram Direct’ sasa imeboreshwa zaidi. Instagram Direct ni huduma inayowawezesha watumiaji kuweza kutumiana picha, video na ujumbe binafsi kwa mtu mmoja, au kundi la watu atakaowachagua mwenyewe bila mtu mwingine kuona. Hivi sasa kuna ki mshale kimeongezwa pembeni mwa icon […]

 

10 years ago

Bongo5

Ne-Yo akikubali kipaji cha uchoraji cha Mtanzania huyu, aipost picha yake kwenye Instagram

Chrissy Renny ni kijana mwenye kipaji kisicho cha kawaida – anachora picha kwa kutumia kalamu ya wino ambayo ukiilinganisha na picha original, unaweza kudhani aliyochora ni photocopy. Picha ya Ne-Yo iliyochorwa kwa mkono kutumia kalamu ya wino Cha kufurahisha zaidi, Chrissy ni Mtanzania na sasa jina lake limefika Marekani – thanks kwa shavu alilopewa na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani