#Filledthedome: Mashabiki wa Cassper Nyovest wamkejeli AKA Instagram baada ya kupost picha ya show yake
Ushindani baina ya rappers wa Afrika Kusini AKA na Cassper Nyovest sasa umehamia kwa mashabiki wao. Baada ya Cassper kuweka historia mpya Jumamosi iliyopita kwa kuwa msanii wa kwanza wa Afrika Kusini kujaza ukumbi wa The Dome peke yake wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 20,000 mashabiki wake wamemkejeli mpinzani wake AKA kwenye mitandao ya kijamii. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Nov
Cassper Nyovest aapa kutozungumzia tena beef yake na AKA, ‘It’s over for me’

Rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest ameapa kutozungumzia tena beef yake na rapper AKA kwasababu ameamua kuachana nayo moja kwa moja ili aendelee na mambo mengine.
Akihojiwa kwenye kipindi cha MTV Base ‘Behind The Story’, Cassper ambaye ameshinda tuzo mbili za AFRIMA weekend iliyopita Lagos, Nigeria, alipohojiwa kuhusu beef yake na AKA alisema hataki kuzungumzia tena swala hilo, ameamua kuendelea mbele.
“I don’t wanna talk about it anymore. It’s not gonna end, man. This is one of the...
10 years ago
Bongo502 Oct
Picha: Mashabiki wamshambulia Nonini baada ya kupost picha ya ‘tbt’ akiwa kwenye pozi za kimahaba na Wahu
9 years ago
Bongo509 Nov
Picha: Cassper Nyovest aendelea kula bata Zanzibar na mpenzi wake Boity, aitosa show ya Maftown Heights

Rapper anayezungumzwa zaidi nchini Afrika Kusini kwa sasa, Cassper Nyovest anaendelea kujipongeza na kufurahia mafanikio baada ya show yake ya #FillUpTheDome kwa vacation ndefu visiwani Zanzibar.
Rapper huyo na mpenzi wake Boity, bado wameendelea kufurahia mandhari za kuvutia za bahari ya Hindi visiwani humo kwenye hoteli za kitalii.
Kurasa zao za Instagram zinaonesha jinsi wanavyofurahia kwenye kisiwa hicho ikiwa ni pamoja na kula vyakula maarufu vya baharini.
Katika hatua nyingine,...
10 years ago
Bongo513 Oct
Cassper Nyovest adai ‘Composure’ ya AKA ilimchoma!
10 years ago
Bongo512 Oct
Publicity from AKA, Cassper Nyovest war worth millions
10 years ago
Bongo518 Dec
SA Hip Hop Awards: AKA ampiku Cassper Nyovest kwa kuondoka na nyingi!
10 years ago
Bongo507 Oct
Cassper Nyovest akanusha kuwa alizomewa jukwaani kwa kuimba diss track ya AKA
10 years ago
Bongo522 Oct
Diamond, Alikiba, Vanessa, Cassper Nyovest, Yemi Alade,AKA, Davido, and 160+ other African superstars confirmed attendance for AFRIMA 2015 in Lagos
9 years ago
Bongo510 Nov
AKA adai hajawahi kusikiliza diss track ya Cassper Nyovest ‘Dust 2 Dust’ iliyomlenga yeye

Wakati rapper Cassper Nyovest anakula bata Zanzibar na mpenzi wake , rapper AKA ameiamsha tena beef yao ambayo ilikuwa imemezwa na historia aliyoiweka Cassper ya kujaza ukumbi wa watu elfu 20 mwenyewe hadi kupongezwa na Rais Jacob Zuma siku chache zilizopita.
AKA ametweet na kusema kuwa hajawahi kusikiliza wimbo wa Cassper aliomdiss unaoitwa ‘Dust 2 Dust’.
Kwenye moja ya Tweet hizo AKA ameandika “kwanini nijidanganye kusikiliza wimbo uliojaa uongo kuhusu mimi?” (hapa sijui amejuaje umejaa...