Cassper Nyovest aapa kutozungumzia tena beef yake na AKA, ‘It’s over for me’
Rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest ameapa kutozungumzia tena beef yake na rapper AKA kwasababu ameamua kuachana nayo moja kwa moja ili aendelee na mambo mengine.
Akihojiwa kwenye kipindi cha MTV Base ‘Behind The Story’, Cassper ambaye ameshinda tuzo mbili za AFRIMA weekend iliyopita Lagos, Nigeria, alipohojiwa kuhusu beef yake na AKA alisema hataki kuzungumzia tena swala hilo, ameamua kuendelea mbele.
“I don’t wanna talk about it anymore. It’s not gonna end, man. This is one of the...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo502 Nov
#Filledthedome: Mashabiki wa Cassper Nyovest wamkejeli AKA Instagram baada ya kupost picha ya show yake
![Cassper n AKA](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Cassper-n-AKA-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo513 Oct
Cassper Nyovest adai ‘Composure’ ya AKA ilimchoma!
9 years ago
Bongo512 Oct
Publicity from AKA, Cassper Nyovest war worth millions
10 years ago
Bongo518 Dec
SA Hip Hop Awards: AKA ampiku Cassper Nyovest kwa kuondoka na nyingi!
9 years ago
Bongo507 Oct
Cassper Nyovest akanusha kuwa alizomewa jukwaani kwa kuimba diss track ya AKA
9 years ago
Bongo522 Oct
Diamond, Alikiba, Vanessa, Cassper Nyovest, Yemi Alade,AKA, Davido, and 160+ other African superstars confirmed attendance for AFRIMA 2015 in Lagos
9 years ago
Bongo510 Nov
AKA adai hajawahi kusikiliza diss track ya Cassper Nyovest ‘Dust 2 Dust’ iliyomlenga yeye
![Cassper-Nyovest-and-AKA](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Cassper-Nyovest-and-AKA-300x194.jpg)
Wakati rapper Cassper Nyovest anakula bata Zanzibar na mpenzi wake , rapper AKA ameiamsha tena beef yao ambayo ilikuwa imemezwa na historia aliyoiweka Cassper ya kujaza ukumbi wa watu elfu 20 mwenyewe hadi kupongezwa na Rais Jacob Zuma siku chache zilizopita.
AKA ametweet na kusema kuwa hajawahi kusikiliza wimbo wa Cassper aliomdiss unaoitwa ‘Dust 2 Dust’.
Kwenye moja ya Tweet hizo AKA ameandika “kwanini nijidanganye kusikiliza wimbo uliojaa uongo kuhusu mimi?” (hapa sijui amejuaje umejaa...
9 years ago
Bongo503 Oct
Music: Cassper Nyovest aendeleza mashambulizi kwa AKA kwenye diss track mpya ‘Dust 2 Dust’
5 years ago
Bongo514 Feb
Cassper Nyovest kufungua ‘Family Tree Store’ yake mpya April 27, Johannesburg
Cassper Nyovest anazidi kutanua mabawa yake.
Rapper huyo mwenye rekodi za kutosha nchini Afrika Kusini, hivi karibuni alipata shavu la ubalozi wa Ciroc na sasa amepanga kuingia kwenye biashara nyinge ya kuuza bidhaa mbalimbali yakiwemo mavazi yake.
Kupitia mtandao wa Instagram, Cassper amethibtisha kufungua duka lake jipya litakaloitwa, ‘Family Tree Store’ tarehe April 27 mjini Johannesburg. Duka hilo lintarajia kuipa nguvu lebo yake ya ‘Family Tree Records’.
“Proud to announce that we...