Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cassper Nyovest akanusha kuwa alizomewa jukwaani kwa kuimba diss track ya AKA

Rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest amejibu juu ya uvumi ulioenea kuwa alizomewa jukwaani weekend iliyopita alipoimba diss track ya AKA kwenye show iliyofanyika Johannesburg. Baadhi ya mashabiki waliohudhuria show hiyo ‘Homecoming Picnic’ walidai kuwa umati ulimgeuka Cassper baada ya kutumbuiza ‘Dust2Dust’ ambayo ni diss track ya AKA, na wengine kusema kuwa baadhi ya watu […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Cassper Nyovest aendeleza mashambulizi kwa AKA kwenye diss track mpya ‘Dust 2 Dust’

Beef ya marapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest na AKA imeingia kwenye hatua nyingine baada ya Cassper kuachia diss track nyingine mpya ‘Dust 2 Dust’. AKA ndiye aliyeanza kwa kumdiss Cassper kwenye wimbo wake ‘Compossure’. Hii ni baadhi ya mistari inayomlenga AKA katika wimbo huu ‘Dust 2 Dust’ -‘Are you mad cuz they never show […]

 

9 years ago

Bongo5

AKA adai hajawahi kusikiliza diss track ya Cassper Nyovest ‘Dust 2 Dust’ iliyomlenga yeye

Cassper-Nyovest-and-AKA

Wakati rapper Cassper Nyovest anakula bata Zanzibar na mpenzi wake , rapper AKA ameiamsha tena beef yao ambayo ilikuwa imemezwa na historia aliyoiweka Cassper ya kujaza ukumbi wa watu elfu 20 mwenyewe hadi kupongezwa na Rais Jacob Zuma siku chache zilizopita.

Cassper-Nyovest-and-AKA

AKA ametweet na kusema kuwa hajawahi kusikiliza wimbo wa Cassper aliomdiss unaoitwa ‘Dust 2 Dust’.

Kwenye moja ya Tweet hizo AKA ameandika “kwanini nijidanganye kusikiliza wimbo uliojaa uongo kuhusu mimi?” (hapa sijui amejuaje umejaa...

 

10 years ago

Bongo5

SA Hip Hop Awards: AKA ampiku Cassper Nyovest kwa kuondoka na nyingi!

Usiku wa jana rapper wa Levels, AKA alinyakua tuzo nne kwenye SA Hip Hop Awards. Mpinzani wake Cassper Nyovest alichukua tatu. Mpenzi wake na AKA, DJ Zinhle alitweet: “Congatulations to my winner.” Hii ni orodha nzima: Album of the Year • Cassper Nyovest- Tsholofelo Producer of the Year • Ganja Beatz Hustler of the Year […]

 

9 years ago

Bongo5

Audio: Listen to AKA diss Cassper in radio freestyle

South African rapper AKA performed a freestyle on Metro Fm’s Touch Down show hosted by DJ, T’bo Touch. After being prompted to rap freestyle on his hit diss track, ‘Composure’ AKA took a few shots at his rival Cassper who recently dropped a diss track titled ‘Dust to Dust.’ Video uploaded to Youtube by The […]

 

9 years ago

Bongo5

Cassper Nyovest adai ‘Composure’ ya AKA ilimchoma!

Rapper Cassper Nyovest wa Afrika Kusini amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu maumivu aliyojisikia baada ya AKA kuachia single iliyomdiss. Rappers hao wawili wamekuwa na uhasama kwa miezi sasa ikiwa pamoja na kutoa ngoma za kudisiana. Alianza AKA kwa kuachia ngoma yake Composure akimchana Cassper kuwa hana lolote. Akiongea na waandishi wa habari jana jijini […]

 

9 years ago

Bongo5

Publicity from AKA, Cassper Nyovest war worth millions

The escalating bickering between rappers AKA and Cassper Nyovest – whose real names are Kiernan Forbes and Refiloe Phoolo, respectively – has earned them millions of rands in free publicity. That’s according to online monitoring company BrandsEye, which compiled a social-listening report for City Press showing how much free marketing the two appear to have […]

 

9 years ago

Bongo5

Cassper Nyovest aapa kutozungumzia tena beef yake na AKA, ‘It’s over for me’

Cassper-Nyovest4

Rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest ameapa kutozungumzia tena beef yake na rapper AKA kwasababu ameamua kuachana nayo moja kwa moja ili aendelee na mambo mengine.

Cassper-Nyovest4

Akihojiwa kwenye kipindi cha MTV Base ‘Behind The Story’, Cassper ambaye ameshinda tuzo mbili za AFRIMA weekend iliyopita Lagos, Nigeria, alipohojiwa kuhusu beef yake na AKA alisema hataki kuzungumzia tena swala hilo, ameamua kuendelea mbele.

“I don’t wanna talk about it anymore. It’s not gonna end, man. This is one of the...

 

9 years ago

Bongo5

#Filledthedome: Mashabiki wa Cassper Nyovest wamkejeli AKA Instagram baada ya kupost picha ya show yake

Cassper n AKAUshindani baina ya rappers wa Afrika Kusini AKA na Cassper Nyovest sasa umehamia kwa mashabiki wao. Baada ya Cassper kuweka historia mpya Jumamosi iliyopita kwa kuwa msanii wa kwanza wa Afrika Kusini kujaza ukumbi wa The Dome peke yake wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 20,000 mashabiki wake wamemkejeli mpinzani wake AKA kwenye mitandao ya kijamii. […]

 

9 years ago

Bongo5

Cassper Nyovest aweka historia kwa kuwa msanii wa kwanza wa Afrika Kusini kujaza ukumbi wa watu 20,000

cassper soldoutRapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest ameweka historia kwa kuwa msanii wa kwanza wa nchi hiyo kujaza ukumbi wa The Dome ulioko jijini Johannesburg kwenye show aliyoandaa mwenyewe iliyofanyika Jumamosi Oct.31. Cappser pia ndiye msanii wa kwanza wa Afrika Kusini kuutumia ukumbi huo wenye uwezo wa kujaza watu 20,000 ambao hutumika zaidi kwenye show zinazokuwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani