Cassper Nyovest aweka historia kwa kuwa msanii wa kwanza wa Afrika Kusini kujaza ukumbi wa watu 20,000
Rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest ameweka historia kwa kuwa msanii wa kwanza wa nchi hiyo kujaza ukumbi wa The Dome ulioko jijini Johannesburg kwenye show aliyoandaa mwenyewe iliyofanyika Jumamosi Oct.31. Cappser pia ndiye msanii wa kwanza wa Afrika Kusini kuutumia ukumbi huo wenye uwezo wa kujaza watu 20,000 ambao hutumika zaidi kwenye show zinazokuwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo524 Oct
Cassper Nyovest apanga kujaza ukumbi unaochukua watu 20,000 Oct 1
9 years ago
Bongo503 Nov
Wasouth wamponda Rais Jacob Zuma kwa kumpongeza Cassper Nyovest kufuatia kujaza ukumbi unaochukua watu 20,000
![706x410q70ranjeni-heaviness](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/706x410q70ranjeni-heaviness-300x194.jpg)
Pongezi za Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kwa rapper Cassper Nyovest aliyeujaza ukumbi unaochukua watu 20,000 jijini Johannesburg, zimepokelewa kwa hisia tofauti.
Jumamosi iliyopita, Cassper aliweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza kuujaza ukumbi huo peke yake. Zuma aliamua kuungana na mamilioni ya mashabiki wa muziki nchini humo kutoa pongezi kwa hatua hiyo.
Kwenye maelezo yake mafupi, Zuma alielezea kufurahishwa na hatua hiyo ambayo mara nyingi imekuwa ikifanikishwa na wasani wa nje...
9 years ago
Bongo502 Nov
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ampongeza Cassper Nyovest kwa kuweka historia, itazame show iliyomletea heshima hiyo (Video)
![casper the dome](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/casper-the-dome-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo526 Oct
Rapper Cassper Nyovest wa Afrika Kusini apata deal la kihistoria
9 years ago
Bongo505 Nov
Baada #FillUpTheDome: Cassper Nyovest na mpenzi wake Boity watu Zanzibar kwa mapumziko
![11909379_157693274584538_1539332956_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11909379_157693274584538_1539332956_n-300x194.jpg)
Amevunja rekodi ya muziki wa Afrika Kusini kwa kujaza ukumbi unaochukua watu 20,000 jijini Johannesburg (October 31) na kupongezwa na Rais Jacob Zuma, amepata deal nono la ubalozi wa MTN, ana demu mkali, unadhani Cassper Nyovest anahitaji nini zaidi ya vacation au baecation kama anavyoiita yeye?
Cassper Nyovest na mpenzi wake Boity
Na ni sehemu gani nyingine hapa Afrika yenye mandhari na hali ya hewa ya kuvutia zaidi ya Zanzibar? Upepo wa marashi ya pemba unaosambazwa na mawimbi ya kuvutia...
9 years ago
Bongo507 Oct
Cassper Nyovest akanusha kuwa alizomewa jukwaani kwa kuimba diss track ya AKA
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/AhdUv6p-CNU/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog23 Aug
Rais Kikwete aweka historia nyingine: Asafiri kwa treni ya TAZARA kwa mara ya kwanza
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipanda treni ya TAZARA kuelekea Kisaki Mkoani Morogoro akiwa katika ziara yake ya mkoa huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Alhamisi, Agosti 21, 2014, ameweka historia nyingine katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro wakati aliposafiri kwa treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ikiwa ni mara yake ya kwanza kutumia usafiri huo katika kipindi chake cha Urais.
Rais Kikwete,...
10 years ago
Bongo518 Dec
SA Hip Hop Awards: AKA ampiku Cassper Nyovest kwa kuondoka na nyingi!