Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OBAMA AWEKA HISTORIA KUWA RAIS WA KWANZA WA MAREKANI KUTEMBELEA GEREZANI

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Cassper Nyovest aweka historia kwa kuwa msanii wa kwanza wa Afrika Kusini kujaza ukumbi wa watu 20,000

cassper soldoutRapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest ameweka historia kwa kuwa msanii wa kwanza wa nchi hiyo kujaza ukumbi wa The Dome ulioko jijini Johannesburg kwenye show aliyoandaa mwenyewe iliyofanyika Jumamosi Oct.31. Cappser pia ndiye msanii wa kwanza wa Afrika Kusini kuutumia ukumbi huo wenye uwezo wa kujaza watu 20,000 ambao hutumika zaidi kwenye show zinazokuwa […]

 

9 years ago

Vijimambo

POPE FRANCIS KUWA POPE WA KWANZA KUTEMBELEA MAGEREZA YA MAREKANI

Philadelphia's Curran-Fromhold Correctional Facility Nijina la magereza atayotembelea Pope Francis, akiwa hapa Pope atakutana na wafungwa na kufanya nao missa ya pamoja. Ni historia kwa Pope kutembelea magereza yaliyo ndani ya Marekani. Magereza hii inaongoza kwa kuwatesa wafungwa na mambo mengi ya ukiukaji haki za kibinadamu.Wafungwa wakitengeza kitu maalum kwa Pope kama zawadi kutoka kwao na kama shukrani kwao kwa kitendo cha kufika kuwaona na kufanya nao missa.Ukitaka kujua kwanini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aweka historia nyingine: Asafiri kwa treni ya TAZARA kwa mara ya kwanza

c5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipanda treni ya TAZARA kuelekea Kisaki Mkoani Morogoro akiwa katika ziara yake ya mkoa huo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Alhamisi, Agosti 21, 2014, ameweka historia nyingine katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro wakati aliposafiri kwa treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ikiwa ni mara yake ya kwanza kutumia usafiri huo katika kipindi chake cha Urais.

Rais Kikwete,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Obama aweka mikakati ya silaha Marekani

Rais Obama amebainisha wazi mipango yake juu ya kuweka mikakati thabiti dhidi ya udhibiti silaha za moto nchini Marekani.

 

11 years ago

GPL

DIAMOND AGONGA SHOO YA NGUVU, AWEKA HISTORIA NEW JERSEY‏ NCHINI MAREKANI

Mwanamuziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz anayekimbiza vibaya mno kwenye anga za Bongo Flava akipagawisha mashabiki wake New Jersey nchini Marekani. Diamond na madancer wake wakijaribu kukata kiu ya mashabiki wake wa pwani ya mashariki.…

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Obama kutembelea Kenya Julai


Rais Barack Obama akizungumza White House mjini Washington, Feb. 3, 2015.
Rais Barack Obama wa Marekani atatembelea Kenya mwezi Julai mwaka huu kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi duniani kuhusu ujasiriamali, White House imetangaza Jumatatu.Hii itakuwa mara ya kwanza kwa Rais Obama kutembelea Kenya, ambako ni nyumbani kwa baba yake mzazi, tangu awe rais mwaka 2008.
Msemaji wa White House amesema shabaha ya ziara hiyo, licha ya kuhudhuria mkutano, ni pamoja na kuongeza nguvu "ukuaji uchumi,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mke wa Rais wa Kenya aweka historia London

Mke wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, Margaret Kenyatta amekuwa mwanamke wa kwanza mama wa taifa kushiriki mbio za London Marathon na kumaliza mbio hizo.

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC. Mhe. Wilson Masilingi   Pamoja na Familia yake wakiwa Katika nyuso za furaha mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho  Ikulu ya Marekani(White House).  Kutoka kushoto ni Mtoto wa Balozi ndugu Nelson Masilingi, Rais wa Marekani Barack Obama, Balozi Wilson Masilingi, pamoja na Marystella Masilingi. Mke wa Balozi.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS Kikwete akutana na Bibi yake Rais Obama wa Marekani,jijini Nairobi leo



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani,Mh. Barack Obama,Mama Sarah Obama walipokutana Leo kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski  jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete akijiandaa kurejea nchini.Mama Sarah Obama anatarajia kuzindua taasisi ya kusaidia elimu kijijini Kogelo nchini Kenya,alikozaliwa Baba yake na Rais Obama wa Marekani itakayofahamika kama (Sarah Obama foundation) ambapo atajenga shule kuanzia za awali mpaka sekondari. Rais kikwete sasa hivi ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani