Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mke wa Rais wa Kenya aweka historia London

Mke wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, Margaret Kenyatta amekuwa mwanamke wa kwanza mama wa taifa kushiriki mbio za London Marathon na kumaliza mbio hizo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aweka historia nyingine: Asafiri kwa treni ya TAZARA kwa mara ya kwanza

c5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipanda treni ya TAZARA kuelekea Kisaki Mkoani Morogoro akiwa katika ziara yake ya mkoa huo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Alhamisi, Agosti 21, 2014, ameweka historia nyingine katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro wakati aliposafiri kwa treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ikiwa ni mara yake ya kwanza kutumia usafiri huo katika kipindi chake cha Urais.

Rais Kikwete,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya:Mke wa rais atetea watoto

Mradi wa mke wa rais wa Kenya wa kupunguza vifo vya watoto wachanga na mama waja wazito umepokelewa kwa furaha Pwani

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KENYATTA - ISINGEKUWA KIKWETE HISTORIA YA KENYA LEO INGEKUWA TOFAUTI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


Telephone: 255-22-2114512, 2116898

E-mail: ikulucommpress@googlemail.com

Website : www.ikulu.go.tz              

Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,

      STATE HOUSE,

              1 BARACK OBAMA ROAD,  

11400 DAR ES SALAAM.

Tanzania.

 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemshukuru Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa juhudi na busara zake wakati nchi hiyo ilipoingia kwenye machafuko...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Uhuru Kenyatta — Isingekuwa Kikwete historia ya Kenya leo ingekuwa tofauti

D92A8983

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja.

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemshukuru Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa juhudi na busara zake wakati nchi hiyo ilipoingia kwenye machafuko ya kisiasa mwaka 2007.

Rais Kenyatta amemshukuru Rais Kikwete leo mbele  ya wafanya biashara wa Kenya na Tanzania, wakati wakufungua Kikao cha wafanyabiashara pamoja jijini Nairobi leo asubuhi.

“Kama isingekua msaada wako mwaka 2007 na juhudi zako, historia ya Kenya leo...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kikwete aweka historia China


Na mwandishi wetu
RAIS Jakaya Kikwete amesababisha mageuzi makubwa kwa namna Jamhuri ya Watu wa China inavyowapokea viongozi wageni kutoka nje kwa kuwa kiongozi wa kwanza duniani kupokewa rasmi na pikipiki za polisi.

Mbali na kupokewa kwa pikipiki, msafara wa Kikwete pia uliongozwa na pikipiki hizo kwa muda wote wa ziara, tofauti na mapokezi ya viongozi wengine katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.
Rais Kikwete, ambaye aliwasili China wiki iliyopita kuanza ziara rasmi ya siku sita nchini humo,...

 

11 years ago

Michuzi

DIAMOND AWEKA HISTORIA NEW JERSEY

 All Star Club Elizabeth New Jersey Diamond akikamua licha ya show kuchelewa kuanza na wapenzi wa Diamond kushikwa na jazba wakitaka aendelee lakini ikashindika kutokana na muda wa kufunga club kufika.   AJ nae akifanya yake baada ya kupewa nafasi ya ufunguzi katika show hiyo iliyofanyika New Jersey. AJ Ubao na Dirty Hary wakishambulia jukwaa kwenye show ya kufubgua pazia iliyoanyika New Jersey na baadae Prezidaa wa Wasafi, Diamond Plutnumz kuwapagawisha mashabiki wake wa ukanda wa pwani...

 

11 years ago

GPL

SHOGA AWEKA HISTORIA BONGO

Stori: Imelda Mtema na Shani Ramadhani
KATIKA tukio linalochukuliwa kama ni la kihistoria kuwahi kutokea katika miaka ya karibuni, shoga wa Jijini Dar es Salaam, Amos Hamis, maarufu kama Anti Asu, aliyeokoka Agosti mwaka jana, ametangaza nia ya kutaka kuoa katika Kanisa la TAG, Magomeni wiki iliyopita. Amosi alimvalisha pete ya uchumba, Astrida Samatha baada ya kukamilisha taratibu zote za mila  na desturi za ukweni na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani