Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kenya:Mke wa rais atetea watoto

Mradi wa mke wa rais wa Kenya wa kupunguza vifo vya watoto wachanga na mama waja wazito umepokelewa kwa furaha Pwani

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mke wa Rais wa Kenya aweka historia London

Mke wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, Margaret Kenyatta amekuwa mwanamke wa kwanza mama wa taifa kushiriki mbio za London Marathon na kumaliza mbio hizo.

 

11 years ago

Michuzi

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AKIZINDUA TAMASHA LA VITABU VYA WATOTO MKOA WA DAR ES SALAAM

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa amesimama na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam akiwemo Katibu Tawala Ndugu Theresia Mbando (wa tatu kutoka kulia), Mkuu wa Wilaya ya Ilala Ndugu Raymond Mushi (wa nne) nje ya jengo la Makumbusho ya Taifa kwa ajili ya kupokea maandamano ya wanafunzi wa shule za msingi za Dar es Salaam wakati wa sherehe ya uzinduzi wa Tamasha la vitabu vya watoto katika Mkoa huo tarehe 12.6.2014. Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Msingi mkoani Dar es Salaam...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mke wa Rais wa Ujerumani, Bi Daniella Schadt atembelea Dawati la Jinsia na Watoto katika Kituo cha Polisi Temeke

FINAL_Press Release German First Lady Visit_03022015.docx by moblog

 

Mke wa Rais wa Ujerumani, Bi Daniella Schadt akisalimiana na maofisa wa Jeshi la Polisi wakati alipotembelea Dawati la Jinsia na Watoto katika Kituo cha Polisi Cha Temeke jana.

Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoka Jeshi la Polisi Tanzania, DCP Adolphina Chialo akitoa ripoti ya dawati la jinsia na watoto tokea kuanzishwa kwake wakati mke wa rais wa Ujerumani Bi Daniella Schadt alipotembelea dawati la jinsia na...

 

5 years ago

Michuzi

MKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI AKABIDHI VITI VYA MWENDO (WHEELCHAIRS) KWA WABUNGE KWA AJILI YA WATOTO WENYE ULEMAVU


Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea shukurani za bila kushikana mikono na Mbunge wa Kilombero (kupitia tiketi ya CHADEMA) Mhe. Peter Ambrose Paciens Lijualikali baada ya kumkabidhi viti mwendo (Wheelchairs) 10 kwa ajili ya watoto wenye Ulemavu wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 5, 2020. Wanaoshuhudia ni Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson na Mke wa Balozi wa Tanzania nchini Israel Mama...

 

11 years ago

Michuzi

MKE WA RAIS MAMA MWANAMWEMA AKUTANA MKE WA MFALME MUSWATI

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akisalimiana na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland Mama Nomsa Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani na ujume wake leo,akiwa katika ziara ya siku mbili nchini. Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akizungumza na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland Mama Nomsa Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani na ujume wake...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa Misri atetea sheria kali za usalama

Rais wa Misri Abdul Fattah al-Sisi ametetea sheria kali za kiusalama nchini humo na kusema taifa lake bado linadumisha demokrasia.

 

11 years ago

GPL

KALAMA:NIMEMUACHA MKE, SIJAWAACHA WATOTO

HUYU ANAOMBA USHAURI
Vipi kaka, mimi nakuomba unipe ushauri, ninatamani kweli kutoka  kimuziki lakini sijapata soko, nifanyeje? Tedy,0752813366
KALAMA: Nenda kwa Mamuu Store waliopo Kariakoo (Dar) wanashughulika na usambazaji wa kazi za muziki watakusaidia. Kalama akiwa kwenye picha ya pamoja na Isabela Mpanda. MALENGO
Kalama nini malengo yako ya baadaye kuhusiana na muziki na maisha yako binafsi? Salim Liundi, Dar,...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: WATOTO WA MAREHEMU, MKE/MME, WAJUKUU.N.K HUGAWANAJE MIRATHI

Na   Bashir     Yakub.
Mara nyingi  nimeandika  kuhusu  mirathi  lakini  zaidi  nimegusia habari ya usimamizi  wa mirathi . Leo  nimeona  ni muhimu  kueleza  mgao  wa mirahi  kwa kuangalia nani anapata  nini kupitia  Sheria ya mirathi ya serikali. Fuatana  nami.
( A ) MGAO UKOJE  IKIWA  MUME  AMEFARIKI  AKAACHA  MJANE, WATOTO  NA  NDUGU ZAKE.
Kama mume  amefariki  na akaacha mjane na watoto basi moja ya tatu ( 1/3) ya mali  za marehemu  zilizo kwenye mirathi anatakiwa apewe mke wake. Mbili ya...

 

10 years ago

Michuzi

MKE WA BALOZI WA UTURUKI ATEMBELEA MUHIMBILI NA KUTOA MSAADA MASHUKA NA NGUO ZA WATOTO

Mke wa Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Bi. Yesim Davutoglu ametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili nakutoa msaada wa mashuka na nguo kwa watoto waliolazwa Hospitalini hapa. Bi. Davutoglu amesema ameguswa kutoa ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani