KALAMA:NIMEMUACHA MKE, SIJAWAACHA WATOTO
![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVlTNzUQCV0SdCaBkwSgXySWIVj1Xg8McqPIvdN*NVuln0dx4*k9iCks50DiYiQZW62-iAqXUogZVcppyJLBymF-/kalama.jpg)
HUYU ANAOMBA USHAURI Vipi kaka, mimi nakuomba unipe ushauri, ninatamani kweli kutoka kimuziki lakini sijapata soko, nifanyeje? Tedy,0752813366 KALAMA: Nenda kwa Mamuu Store waliopo Kariakoo (Dar) wanashughulika na usambazaji wa kazi za muziki watakusaidia. Kalama akiwa kwenye picha ya pamoja na Isabela Mpanda. MALENGO Kalama nini malengo yako ya baadaye kuhusiana na muziki na maisha yako binafsi? Salim Liundi, Dar,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Oct
Kenya:Mke wa rais atetea watoto
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/--q5pOEu1H0g/VO1xF1d2pOI/AAAAAAAHFw8/G2cITBf59is/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: WATOTO WA MAREHEMU, MKE/MME, WAJUKUU.N.K HUGAWANAJE MIRATHI
![](http://1.bp.blogspot.com/--q5pOEu1H0g/VO1xF1d2pOI/AAAAAAAHFw8/G2cITBf59is/s1600/law_5.jpg)
Mara nyingi nimeandika kuhusu mirathi lakini zaidi nimegusia habari ya usimamizi wa mirathi . Leo nimeona ni muhimu kueleza mgao wa mirahi kwa kuangalia nani anapata nini kupitia Sheria ya mirathi ya serikali. Fuatana nami.
( A ) MGAO UKOJE IKIWA MUME AMEFARIKI AKAACHA MJANE, WATOTO NA NDUGU ZAKE.
Kama mume amefariki na akaacha mjane na watoto basi moja ya tatu ( 1/3) ya mali za marehemu zilizo kwenye mirathi anatakiwa apewe mke wake. Mbili ya...
11 years ago
Mwananchi12 Jul
UKATILI: Ndoa ya watoto yageuka majanga, nusura amuue mke kisa ng’ombe
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-lwPNZMB7Abo/VR1TwyZ0RGI/AAAAAAAHO94/QjWn6wWSptw/s72-c/unnamed%2B(33).jpg)
MKE WA BALOZI WA UTURUKI ATEMBELEA MUHIMBILI NA KUTOA MSAADA MASHUKA NA NGUO ZA WATOTO
11 years ago
MichuziMKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AKIZINDUA TAMASHA LA VITABU VYA WATOTO MKOA WA DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog04 Feb
Mke wa Rais wa Ujerumani, Bi Daniella Schadt atembelea Dawati la Jinsia na Watoto katika Kituo cha Polisi Temeke
FINAL_Press Release German First Lady Visit_03022015.docx by moblog
Mke wa Rais wa Ujerumani, Bi Daniella Schadt akisalimiana na maofisa wa Jeshi la Polisi wakati alipotembelea Dawati la Jinsia na Watoto katika Kituo cha Polisi Cha Temeke jana.
Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoka Jeshi la Polisi Tanzania, DCP Adolphina Chialo akitoa ripoti ya dawati la jinsia na watoto tokea kuanzishwa kwake wakati mke wa rais wa Ujerumani Bi Daniella Schadt alipotembelea dawati la jinsia na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7733_i26TLk/XmD4pxs3RsI/AAAAAAALhOc/Q3lppQgtvGIX4FkuFN-qVkDaY6dAelH3wCLcBGAsYHQ/s72-c/m1AA-768x512.jpg)
MKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI AKABIDHI VITI VYA MWENDO (WHEELCHAIRS) KWA WABUNGE KWA AJILI YA WATOTO WENYE ULEMAVU
![](https://1.bp.blogspot.com/-7733_i26TLk/XmD4pxs3RsI/AAAAAAALhOc/Q3lppQgtvGIX4FkuFN-qVkDaY6dAelH3wCLcBGAsYHQ/s640/m1AA-768x512.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4bIsJDjFjL5Rue1mdRuhObmRsuU4BWxtI3SndUXm3RBun0GC1690IuQY2k5ZK0GGcXWfqZzwEU3uXboKl9GhMAeEZ5qk2Hoi/BACKAMANIMMMMMMM.jpg?width=650)
BELLA AMFUMANIA KALAMA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmWKX8GKoMkrVsD7mJYJjopIHABLbgitiLAk-Q34y1kAQnyQYQ9DV6oqPtCcidpPxzzpWTC4T6tr3mMRUTWvfg36tiT9RFRO/isabela.jpg?width=650)
ISABELA: KALAMA AMENITULIZA