Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ISABELA: KALAMA AMENITULIZA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda amekiri kuwa mpenzi wake, Luteni Kalama ndiye aliyemtuliza  mapepe aliyokuwa nayo. Miss Ruvuma 2008, Isabella Mpanda ‘Bella’ na mchumba’ke ambaye ni memba wa Kundi la Gangwe Mob, Karama Bakari ‘Luteni Kalama’.
Akistorisha na safu… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ISABELA, KALAMA WAMWAGANA

MWISHO umewadia! Ule uchumba wa muda mrefu wa wasanii wawili wa muziki wa kizazi kipya, Isabela Mpanda an Kalama Bakari ‘Luteni’ umevunjika kwa kinachoelezwa kuwa ni kukosekana kwa uaminifu baina yao. Wasanii wawili wa muziki wa kizazi kipya, Isabela Mpanda 'Bella' na Kalama Bakari ‘Luteni’ wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya Global TV Online hivi karibuni  kabla ya kumwagana. Chanzo makini...

 

11 years ago

GPL

ISABELA MPANDA, KALAMA WAZINGUANA KINOMANOMA

Stori: Gladness Mallya
WALE wapenzi wa muda mrefu, Luteni Kalama na Isabela Mpanda hivi karibuni walizinguana kinomanoma baada ya Kalama kwenda kumchomoa kwa nguvu mpenzi wake huyo akiwa bandari ya Dar es Salaam alikokuwa akifanya taratibu za kwenda Zanzibar kushuti filamu. Chanzo chetu kilichokuwa eneo la tukio kilisema: “Sisi tulishangaa kumuona Kalama anakuja akiwa amefura, alipomuona tu Isabela akamchukua kwa nguvu,...

 

11 years ago

GPL

MAMA LORAA AINGILIA KATI PENZI LA ISABELA, KALAMA!

MAMA mlezi wa wasanii wa filamu Bongo, Catherine Ambakisye ‘Mama Loraa’ ameingilia kati penzi la wasanii wawili, Isabela Mpanda na Luteni Kalama lililovunjika na kuwapatanisha. Wasanii wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda na Luteni Kalama wakiwa katika pozi. Isabela amethibitisha kuwa ni kweli wamewekwa kiti moto na Mama Loraa ambapo walikubali kurudiana na kudai ni onyo la mwisho kwa Kalama na kama atarudia tabia za...

 

11 years ago

GPL

ISABELA MPANDA NA LUTENI KALAMA KATIKA MTU KATI YA GLOBAL TV ONLINE

Wapenzi wa muda mrefu ambao ni wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Isabela Mpanda na Luteni Kalama walipohojiwa ndani ya Global TV Online kwenye kipindi cha Mtu Kati! Kwa vipindi zaidi kutoka GLOBAL TV ONLINE, INGIA: …

 

9 years ago

GPL

BELLA AMFUMANIA KALAMA

Issa Mnally MISS Ruvuma 2006 anayedaiwa kuishi mjini ‘kiujanjaujanja’, Isabellah Mpanda ‘Bella’, juzikati alimfumania Mbongo Fleva, Kalama Bakari ‘Luteni Kalama’ kwa kumkuta live na mchepuko aitwaye Winnie ambaye ni mdogo wa Bella kwa kuchangia mama, Amani lina hatua kwa hatua. Alipowafumania. Tukio hilo lilijiri nyumbani kwa Bella, Makumbusho jijini Dar es Salaam baada ya kurejea ghafla kutoka safari ya kimuziki...

 

11 years ago

GPL

BELA, KALAMA NDOA YANUKIA

Stori: Gladness Mallya STAA wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’ na mpenzi wake wa kitambo, Karama Omari ‘Luten’ wanatarajia kufunga ndoa Novemba, mwaka huu. Staa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’. Akizungumza na mwanahabari wetu, Isabela ambaye anatamba na wimbo wa Taratibu alisema ana furaha isiyo na kifani kwani kwa mara ya kwanza tangu aanze uhusiano wa kimapenzi na Karama...

 

11 years ago

Mwananchi

Kalama ajipanga Mei Mosi

Bondia Kalama Nyilawila amesaini mkataba kwa ajili ya kupanda ulingoni Mei Mosi kumkabili mshindi baina ya Thomas Mashali na Japhet Kaseba.

 

11 years ago

GPL

KALAMA:NIMEMUACHA MKE, SIJAWAACHA WATOTO

HUYU ANAOMBA USHAURI
Vipi kaka, mimi nakuomba unipe ushauri, ninatamani kweli kutoka  kimuziki lakini sijapata soko, nifanyeje? Tedy,0752813366
KALAMA: Nenda kwa Mamuu Store waliopo Kariakoo (Dar) wanashughulika na usambazaji wa kazi za muziki watakusaidia. Kalama akiwa kwenye picha ya pamoja na Isabela Mpanda. MALENGO
Kalama nini malengo yako ya baadaye kuhusiana na muziki na maisha yako binafsi? Salim Liundi, Dar,...

 

11 years ago

GPL

ISABELA HAMNAZO

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan Mbovumbovu za staa! Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda amedhihirisha jinsi alivyo hamnazo baada ya kuvua nguo hadharani na kuacha nyeti nje bila kujali watu waliokuwa wakimshangaa. Isabela Mpanda akimwaga radhi ukumbini. Tukio hilo la kushangaza lilitokea Alhamisi iliyopita kwenye Ukumbi wa Mawela uliopo Sinza, Dar ambako kulikuwa na kitchen party ya mwigizaji, Vanita Omary ambapo Isabela...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani